NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958
Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea...
Nimekaa toka asubuhi na mapema nafikiria vipi tutamkumbuka Mwalimu Nyerere katika karne moja lakini pamoja na yeye tuwakumbuke wenzake ambao baadhi yao hawajulikani kabisa.
Nikaingia shambani...
NYERERE DAY 2022: EDOUARD MASSENGO ALIPOKUTANA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Jioni hii rafiki yangu moja kutoka Ulaya kanipitia kunijua hali na kaniletea CD ya muziki wa Edouard Masengo na Mwenda...
Jina la Mwalimu Julius Nyerere linasomeka kwenye mitaa, barabara, majengo, vituo, shule, vyuo na vitu vilivyopewa jina lake; Daraja la Nyerere Kigamboni,Julius Nyerere University of Kankan, in...
Nasikia hii ilivunjika mwaka 1977. Nimekuwa nikisikia hadithi nyingi kuwa watu waligawana mali kama washenzi(barbarians). Hili limewapa baadhi ya watu vinyongo hadi leo kuwa walidhulumiwa, naomba...
NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI
Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja...
Nyerere Day
STBONGO TV STARTIMES NYERERE DAY 2022
KEVIN LAMECK NA MOHAMED SAID
Kipindi kitarushwa saa tatu kamili asubuhi leo na marudio ni saa nne kamili usiku.
YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU
Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake...
BONGO TV NA NYERERE DAY
Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho...
HEMED SEIF: ''INSIDE 10'' NYOTA WA GOSSAGE NA CHALLENGE CUP
Hayo maneno hapo chini nimeyatoa katika taazia niliyomwandikia Hemed Seif alipofariki dunia mwaka wa 2014.
Hizo picha nimeziweka...
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA SIKU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Sijapata kufanya kipindi kama hiki.
Jua lilikuwa kali sana asubuhi ya saa tatu.
Gari la Azam TV lina ''full...
Mwaka 2001, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Fujian Xi Jinping alimwandikia baba yake barua ya pongezi ya siku ya kuzaliwa, akisema anatumai kujifunza sifa bora kutoka kwa baba yake.
Bw. Xi Zhongxun...
Miaka 42 iliyopita, Bw. Xi Jinping ambaye alikuwa anasoma katika chuo kikuu cha Qinghua alikwenda pamoja na baba yake kufanya ziara ya ukaguzi mkoani Guangdong, wakati akiwa kwenye mapumziko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.