Greetings Earthlings,
Hizi empire mbili zilitawala kila moja kwa muda wake.
Roman empire ilitawala muda mrefu zaidi na ilikuwa na phase mbili ya kabla kuwa ya kikristo na baada kuwa ya kikristo...
PICHA YA ALI MSHAM NA IDDI FAIZ MAFUNGO NDANI YA NYUMBA YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA
Jana nimeeleza kazi ya Jaffar Mponda katika kutayarisha kipindi cha Nyerere Day.
Jaffar Mponda alikuwa...
The Battle of 𝗔𝗱𝘄𝗮 was the result of Italian encroachments south of their colony of Eritrea on the Red Sea. Though bound by the 𝗧𝗿𝗲𝗮𝘁𝘆 𝗼𝗳 𝗪𝘂𝗰𝗵𝗮𝗹𝗲 (1889) to friendship, the Italians and Ethiopians...
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI
Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi.
Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif...
Mnamo tarehe 7/2/1706, Kimpa Vita aliuawa kwa kuchomwa moto na mishenari wa kikatoliki huko nchini Congo.
Kimpa vita aliuliwa kwa sababu tu ya kuwahubiria watu kuhusu imani ya kijadi ya Kongo na...
Ilikuwa ni siku ambayo jiji la Dar es salaam liligubikwa na majonzi huku vilio vikitawala katika kila kona yake. Majonzi haya hayakutokana na kumpoteza mwasisi wa nchi hii pekee bali ni hofu ya...
UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA
Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga.
Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na...
Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI.
Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya...
RICHARD SPIKES: MVUMBUZI WA INJINI ZA GARI ZA KISASA!!
Wengi wetu leo tunaendesha gari za kisasa zenye kubadili mwendokasi bila kuhitaji kubadili gea(automated gear transmission systems), na...
Siku moja jioni moja miaka sita iliyopita nilipata bahati ya kumfikia Maalim nyumbani kwake Sharif Shamba nje na mbali na matarumbeta na shamrashamra za mikutano na mengineyo.
Ilikuwa starehe...
1Wafalme 10.7
Lakini mimi sikuzisadiki habari hizo hata nilipokuja na kuona kwa macho yangu; Tena tazama sikuambiwa nusu wewe umezidi kwa hekima na kufanikiwa kuliko habari nilizosikia.
Malikia...
BI. HALIMA MZEE MTOTO WA BI. TITI MOHAMED YOTE KAYAONA KWA MACHO YAKE
Picha hiyo hapo chini ni tawi la TANU lililofunguliwa na Ali Msham nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa mwaka wa...
Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya...
Picha: Oscar Salathiel Kambona
Oscar Salathiel Kambona boarded East African Airways flight 720 in Nairobi, Kenya in the evening of July 26, 1967 for Europe. He had reached a point of no return...
Baada ya kuchoshwa na matukio ya awamu ya tano ngoja leo tujifunze kidogo kuhusu kabila la Wameru
Mpaka sasa hivi haswa sijafahamu asili ya hawa jamaa wengine wanadai ni machame but wa karibu...
Mwaka 1983 Brazil waliingia katika msiba mzito kisoka pale walipompoteza gwiji wao Manuel Francisco dos Santos almaarufu kwa jina la Garincha. Garincha ni moja ya kizazi cha dhahabu cha soka la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.