Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini.
Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
Habari zenu ndg zangu,
Natambua hapa kuna watu wa rika zote na tamaduni zote, sasa mwenye uelewa na hili afunguke ili tujifunze, na tuone utofauti.
katika suala la kuoa:
baadhi ya wazee wetu...
Nimefanya mahojiano mafupi na TBC kuhusu upungufu ulioko katika historia ya TANU ambako wapigania uhuru wengi historia zao hazifahamiki.
Kipindi hiki kimekusudiwa kurushwa katika Taarifa ya...
Mzee Leonard Rwizandekwe aliwashangaza Watanzania mwaka 1965 kwa kukiomba chama cha TANU kimpendekeza kwa wananchi awe mgombea pekee wa urais badala ya Mwalimu Nyerere, akiwa kijiji kwake...
Mwalimu Julius K. Nyerere
ABOUT NYERERE
HONORARIES AND AWARD
As a result of his good work, different institutions and universities honored Mwalimu Nyerere to mark his contributions to Tanzania...
Salaam Wakuu.
Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani
Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.
Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa...
Prof Adebayo Adedeji, an Ijebu Ode-born economist and diplomat, was born on December 21, 1930. He was the founder and pioneer Chairman of the National Youth Service Corps (NYSC).
In the early...
WAZANZIBARI NA IMANI YAO KWA ALLAH
Rais Hussein Mwinyi kafungua msikiti uliopewa jina lake.
Jina la msikiti huo litabaki siku zote kuwa Masjid Hussein jina la mjukuu wa Mtume SAW.
Rais Mwinyi...
"What counts in life is not the mere fact that we have lived, it is what difference wehave made to the lives of others that will determine the significance of the life we had".
The voice of the...
Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani.
Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki...
MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI
Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja...
Tujikumbushe Operation ya kuwaokoa mateka wa ki Israel na mataifa mengine Kwenye uwanja wa ndege wa ENTEBBE nchini Uganda.
Kwa wale wenye ufahamu mkubwa wa hiyo operation watueleze. Tunasikia...
MBONA TUMESAHAU HARAKA KIASI HIKI?
Kitabu hicho hapo chini kiliandikwa kueleza na kuhifadhi yaliyotokea Zanzibar mwaka wa 2001. Nimeweka picha chache labda tutazinduka. Picha nyingine ndani ya...
ATHARI YA MAJINA YA MITAA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Mtaa wa Makunganya unaanza karibu ya Msikiti wa Shia ambao uko kwenye kona ya Mtaa wa Zanaki unashuka chini kama unakwenda Picha ya Bismini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.