Kutana na Matare Matiko Rais wa DARUSO enzi za mgomo UDSM 1989
Mwandishi Wetu Toleo la 321 16 Oct 2013
Mwaka 1989, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiliingia katika mgomo mkubwa wa kihistoria...
MUULIZAJI KAULIZA KWA NINI SYKES WANAREJEWA NA KUREJEWA?
''Nauliza hakuna familia nyengine ila ya akina sykes ilo shiriki?
Kugomboa tanganyika naona kila mara tunawarejea hao hao?''
Namjibu...
MKATABA WA FEI TOTO NA MKATABA WA JOHNNY FONTAINE
Naamini ni wachache wataelewa.
Mario Puzo aliandika kitabu kilichokuja kuwa maarufu na kikatengenezwa filamu iliyokuja kuwa maarufu kupita...
26 DECEMBER 2022
Mwandishi wa habari Ben Mwanantala anakwenda na kufanya safari kufahamu historia ya reli ya TAZARA kwa undani kabisa
Mengi mazuri kuhusu huduma bora zaidi 2022 / 2023
Source ...
KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966
Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza.
Hivi ndivyo...
VILABU VYA MPIRA MITAANI VIMEKWENDA WAPI?
Dar es Salaam tuliyokulia sisi katika 1960s hakuna ambae alikuwa hachezi mpira.
Kutoka Upanga hadi kufika Kidongo Chekundu kulikuwa na viwanja zaidi ya...
HAPPY 93rd BIRTHDAY TO MAMA MARIA NYERERE- THE INAUGURAL FIRST LADY OF TANGANYIKA AND TANZANIA !!!
--------------------------------------------------------------
Mzee wa Atikali...
BI. TITI MOHAMED, JULIUS NYERERE, OSCAR KAMBONA NA MAMA MARIA
Picha hiyo hapo chini inamuonyesha Bi. Titi akizungumza na nyuma yake amekaa Julius Nyerere, Oscar Kambona na Mama Maria Nyerere...
Mwaka mmoja umepita tangu Disemba 26, 2021 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alipotangaza kifo cha Askofu mkuu wa zamani wa kanisa la Anglikana nchini humo Desmond Mpilo Tutu.
Askofu Desmond...
Ungana nami mhabarishaji wako ASIWAJU katika makala hii fupi inayo elezea uvamizi wa marekani katika eneo la HAWAII ulivyo acha simanzi kubwa kwa wakazi wa eneo hilo.
Makala hii imeandaliwa na...
KUTOKA KWENYE SHAJARA YANGU 2 JUNE 1991
Huenda msomaji utakachosoma hapo chini ukaona hakina maana kwako.
Kwangu mimi hayo niliyoandika yamenipa jibu la swali lililokuwa likinitaabisha kwa muda...
Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima...
Kuna rafiki zangu watu maarufu katika duru za Kiislam waliniomba niwapeleke kwa Hamza Aziz na ilikuwa katikati ya miaka ya 2000.
Nilimpigia simu na akatukaribisha nyumbani kwake nyumba ambayo...
Historia inasema kuwa binadamu wa kwanza alianza kuonekana hapa Tanzania huko Arusha laitoria na kuna nyayo ambazo utafiti unaonesha ni miaka milioni 4 sasa tangu kuwepo kwa binadamu.
Lakini...
Mnamo mwaka 1955 Nchini Marekani kuliwahi kushuhudiwa mgomo mkubwa wa watu weusi wakazi wa mji wa Montgomery wakisusia kutumia mabasi ya umma waendapo na warudipo nyumbani kutoka kazini kwa sababu...
BI. TITI MOHAMED NA RAIS ALI HASSAN MWINYI IKULU SIKU YA EID EL FITR 1989
Picha hiyo ya Bi. Titi Mohamed na Raid Ali Hassan Mwinyi nimeitoa kwenye "scrap book" yangu yenye umri wa miaka 44...
Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake...
NYARAKA ZA SYKES ZINAVYOELEZA HARAKATI ZA KUDAI UHURU NA HISTORIA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Naomba ruhusa nianze na historia ya babu yangu.
Footnote No. 10 inaeleza...
Historia
Makala: Historia ya Moroko
Moroko ya Kale
Habari za kimaandishi za kwanza ni kutoka karne za kwanza KK. Wafinisia walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilibaki nchi ya Waberber...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.