BINADAMU WALIO ACHA ATHARI KUBWA ULIMWENGUNI: DUNIA IKAWA YAO, KISHA WAO WAKAWA DUNIA MPAKA LEO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu. (CMCA)
Saturday-03/12/2022
Marangu Kilimanjaro Tanzania
Hii list hapa...
NYANGE BINT CHANDE ALIFATA NYAYO ZA BI. TITI MOHAMED
Picha hiyo inamuonyesha Bi. Nyange bint Chande na mumewe Bwana Mangara wakiwa na wanafamilia yao.
Nyange bint Chande alitoa nyumba yake kuwa...
Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa...
KABURI LA TEWA SAID TEWA MAKABURI YA MWINYIMKUU MAGOMENI
Tewa Said Tewa kwake nililokuwa mtoto wake mwanae kabisa.
Mzee Tewa Said Tewa akijuana na baba yangu toka udogoni na ujana wao.
Mzee...
JIONI MOJA NA BI. TITI NYUMBANI KWAKE UPANGA MIAKA YA 1980
Nimewakuta watoto hawa leo asubuhi hapa Ikwiriri, Rufijib wanaitazama picha ya Bi. Titi nikawaomba tupige picha mimi na wao na Bi. Titi...
Pengine Kuna watu wanasikia Mengi kuhusu Makao makuu ya kiserikali ya Nchi ya Marekani, Washington DC lakini wasijue Nini chanzo Cha jina la huo Mji ambamo Imejengwa ikulu ya Nchi hiyo The White...
In Praise of Ancestors
Hii ni makala yangu ya kwanza kuchapwa na jarida la Africa Events (London) mwaka wa 1988.
Gazeti hili halikuruhusiwa kusambazwa na lilikusanywa kutoka kwa wauzaji.
Nakala...
SAFARI KUELEKEA IKWIRIRI TAMASHA LA BI. TITI
Juma hili kuelekea Tamasha la Bi. Titi lilikuwa na shughuli nyingi kwangu.
Ingia toka ya waandishi na makamera yao ya TV yakishushwa kutoka kwenye...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania.
Imethibitika...
HISTORIA YA BI. TITI KATIKA KITABU CHA ABDUL SYKES 1955
Mikutano ya TANU ya siku za mwanzo ilikuwa ikifanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mbele ya Princess Hotel.
Kwenye jukwaa lililojengwa...
Wana JF kumekua navhistoria tofauti tofauti na story nyingi kuhusu Hawa viumbe alienswanaosadikika kuepo au kuishi katika sayari nyingine, na wamekua wakitembelea dunia Mara kwa Mara.
Swali...
Princess Diana's sapphire blue engagement ring may be one of the most recognizable pieces of jewelry in history, but not everyone was a fan of the stunning blue bauble. As re-enacted on season...
BI. TITI MOHAMED BADO ANAISHI KATIKA SIASA, MAENDELEO NA FIKRA ZA WANAWAKE WA TANZANIA
Kwa kipindi cha majuma mawili kabla ya maadhimisho rasmi ya kumbukumbu ya Bi. Titi Mohamed Ikwiriri nimekuwa...
This day is observed as the Saudi National Day and is celebrated with folklore dances, songs, and traditional festivals throughout the kingdom.
On September 23, 1932, the two kingdoms of Nejd and...
- Moja Ya Watu Muhimu katika Historia Ya Tanganyika na Zanzibar.
- Jamaa alikua ni Mzaliwa wa Taifa La Austria, Na Alikua Mjuzi katika Taaluma mbili tofauti Kwanza Alisoma Cartography elimu...
MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika...
WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED
Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo.
Tuliweka barza tukamzungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.