WADAU
AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya...
Mwaka 1869 ulifunguliwa Mfereji mashuhuri wa Suez (Suez Canal), Ni mfereji ambao ulitengenezwa kwa Nguvu ya Binadamu ili Kufupisha safari ya Kutoka Bara la Ulaya Mpaka Asia.
Kabla ya kuwepo kwa...
Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi.
Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu...
KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022
Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la...
GAIUS JULIUS CAESAR; MWANASIASA PEKEE ALIYEWAHI KUWA NA USHAWISHI MKUBWA ZAIDI DUNIANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Sunday-29/05/2022
Marangu Mtoni, Kilimanjaro Tanzania
Katika historia ya...
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila...
KWA NINI NILINYANYUA KALAMU?
Naona ukumbi kama vile umejaa na kinachosubiriwa ni kuanza mazungumzo.
Najiuliza mwenyewe kwa nini niliamua kuandika kitabu hicho hapo juu kueleza historia ya TANU...
SHEIKH MOHAMED NASSOR NA KIBAO CHA MTAA WA SHEIKH MUHAMMAD YUSUF BADI
Mashaallah Sheikh Muhammad Nassor kasimama chini ya kibao cha Sheikh Muhammad Yusuf Badi kilichopo mjini Lindi.
Sheikh...
THE STANDARD OF THE REASONABLE MAN’’ (KIWANGO CHA FIKRA YA MTU WA KAWAIDA): MJADALA WA UTEUZI WA MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Lord Denning wanasheria wanamjua sana kwa hukumu zake...
HISTORIA FUPI YA OSCAR KAMBONA
Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma...
Wakuu leo nishee na nyinyi kitu hiki.
Historia ya Ng'wana Malunde
Na Emmanuel Kasomi
Maisha ya awali
Ngw'anamalundi alizaliwa katika kijiji cha Mwakubunga Nera katika Wilaya ya Kwimba mkoani...
Mnakumbuka kuhusu hafla ya kumzika malikia Elizabeth ll yalifanyika kwa faragha siku ya mwisho ya kuuweka mwili wake eneo la mapumziko?.
Sasa bwana jambo lile lilizua mjadala huko Uingereza, hoja...
Ilikuwa kwa upande wa akina mama wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nafasi ya kuongoza umma kwa akina mama chini ya TANU ishikwe na Bi. Halima Hamisi au Bi. Titi Mohamed.
Bi. Halima wakati...
CHAMA CHA SIASA KINAPOOGOPA SANDUKU LA KURA
Hili ni jinamizi.
Chama cha siasa kutishika na ''ballot box.''
Vipi utakuwa bondia wakati unaogopa uso wako kuguswa na makonde?
Vipi utakwenda...
HASSAN KINYOZI NA AHMED SEIF: WAAJIRIWA WA KWANZA WA TANU SOUTHERN PROVINCE 1955
Bingwa wa historia ya Tanganyika John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU iko mikononi mwa watu binafsi...
Hakika siku hii kila mtu aliyekuwepo sehemu hii alitokwa na machozi.
Mtoto wa marehemu alisoma kilichoandikwa kwenye karatasi na watu kutokwa na mchozi kwa unyama alifanyiwa baba yake.
African-Indians, Indians of African origin.
There are at least 20,000 of an African-origin ethnic tribe who have been living in near total obscurity in India for centuries.
Descendants of Bantu...
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa...
Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.