Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Vijana na watu wazima walishirikiana katika mchezo wa kamari (kwesa nsimbi). Mchezo huu pia ulitegemea ruhusa ya mtemi, maana mara kwa mara yaliweza kutokea matata ya kuuana wao kwa wao. Kwa...
2 Reactions
0 Replies
407 Views
"Maafande naomba kusema jambo unajua nini ama wazazi wangu wangekuwa na uwezo ningefika hadi kidato cha tano na sita hivyo basi ningekuwa daktari. Moja ya ndoto yangu iliyofifia. Na hata...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Salam wanahistoria. Ninasoma Tasnifu ya Wangari Mathai iitwayo Unbowed, Kwenye sura ya Kwanza, nimekuta maelezo kuwa kuna wakenya waliletwa Tanganyika kupigana Vita ya Dunia, kati ya Muingereza...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Safari Yangu Nchini Sudani Kusini ------------------------ Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu. ------------------------ Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana...
41 Reactions
56 Replies
13K Views
Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo...
22 Reactions
343 Replies
20K Views
Na Masudi Rugombana Huyu ndiye Baba wa uchumi wa China, ndiye aliyeasisi, aliyejenga na kusimamia ipasavyo misingi ya mfumo wa uchumi wa soko huria, na kufanya mageuzi mengi yanayoifanya leo hii...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Watafiti wengi walianza kupata mwangaza baada ya kujiuliza ujenzi wa mapiramidi ya misri matatu kuendana na mtililiko wa nyota. Tafiti nyingine zikaja kuibua mapiramidi mengi kwa mtindo wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui kama hii stori iliwahi kuletwa humu jf mbaba anaitwa Walter Summerford ndio Mwanaume anaeshikilia rekodi ya kupigwa radi tatu akiwa hai na moja kaburini kwake. Walter ambae alikua Afisa wa...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
AHMED MOHAMED JOHARI (MNUBI) YANGA WALIMKATISHA MASOMO SEKONDARI ACHEZE MPIRA Picha hiyo hapo chini inatoka kwa Sunday "Computer'' Manara na yeye kaipata kwa kaka yake Kitwana ''Popat'' Manara...
1 Reactions
2 Replies
970 Views
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA MAJADILIANO KATI YA CHAMA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ABDALLAH SAID KASSONGO NA PAFMECA 1958 SIKU KWA MARA YA KWANZA ''TANU YAJENGA NCHI ULIPOIMBWA'' Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959. Imekuwa jambo la...
5 Reactions
15 Replies
965 Views
MKUTANO WA PAFMECA MOSHI 1959 Kanirushia ndugu yangu barua hii ya PAFMECA nami nimeiweka hapa sote tufaidi. Naweka hapo chini kipande kidogo kuhusu PAFMECA kutoka kitabu cha Abdul Sykes: Pan...
1 Reactions
3 Replies
821 Views
WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA KUSAKA UHURU Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Cleopatra alikwea umalkia au kiti cha enzi akiwa na umri wa miaka 17 na alikufa akiwa na umri wa miaka 39. Alizungumza lugha 9. Alijua lugha ya Misri ya Kale na alijifunza kusoma maandishi ya kale...
10 Reactions
22 Replies
3K Views
TAAZIA: OMARI MWARIKO AMEFARIKI Nimepokea taarifa ya Omari Mwariko. Si wengi watakuwa wanamfahamu katika miaka hii lakini Mwariko alikuwa bingwa wa kuchonga vinyago na katika uhai wake katika...
5 Reactions
3 Replies
933 Views
OMARI MWARIKO NANI ANAMFAHAMU? Huyo hapo chini aliyevaa kofia ni Omari Mwariko. Nimemfahamu Omari Mwariko nakua na nasoma shule ya msingi Moshi katika miaka ya 1960. Miaka hiyo Omari Mwariko...
12 Reactions
49 Replies
8K Views
UGIRIKI, FALME YA MACEDONIA, UYUNANI; MAMA NA KITOVU WA NCHI ZA ULAYA, ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA YA NNE YA DUNIA (4th WORLD HEGEMONY) Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Wednesday-14/12/2022 Olasiti...
12 Reactions
15 Replies
4K Views
BOCCA DELLA VERITA: Inaitwa MOUTH OF TRUTH Ipo na inakaa nje ya mlango wa Santa Maria katika Kanisa la Cosmedin Rome Italia Ni sanamu kubwa iliyo katika hadithi nyingi, inafanana na uso...
5 Reactions
72 Replies
7K Views
Thomas Sankara na Blaise Compaoré, wote walikua pamoja nyumbani kwetu. Baba yangu aliwatunza wote wawili na walikuwa zaidi ya ndugu. Baba yangu aliwapeleka wote wawili kwa jeshi la taifa na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom