Tanganyika iko kwenye Vitabu vya historia tu na Wengi hawajawahi kuiishi
Najiuliza kila siku yule Mwendazake Mchungaji Mtikila alivutiwa na nini kwenye Tanganyika isiyoonekana?
Kwaresma njema!
Ukifungua ukurasa wa Google au YouTube kisha ukaandika John Stephen Akhwari hakika kile ambacho utakiona kitakufanya utamani kutazama mpaka mwisho.
Jina la mtu huyo litajitokeza mara nyingi...
HISTORIA YA KADI YA TANU 1954
Ndugu yangu mmoja kanirushia kadi ya TANU nami kwa kuonyesha shukurani yangu kwake namuwekea hapo chini historia ya kadi ya TANU kama nilivyoeleza katika kitabu cha...
Wanazuoni.
Naomba anayefahamu asili ya Neno Tanganyika ni ipi? Ingawa nasikia hata DRC Kuna sehemu inaitwa Tanganyika.
Wazee wa zaman au wasomi wa historia msaada tafadhari
RASHID RAMADHANI NYEMBO NA ABDALLAH SAID KASONGO: HISTORIA YA VIJANA WA TANU NA PAFMECA 1958
Watu wengi wamekuwa wakinirushia barua ya mkutano wa PAFMECA Moshi mwaka wa 1959.
Imekuwa jambo la...
"CHICKEN ON THE BONNET" (KUKU JUU YA BONETI YA GARI)
Hawa kuku wawili nimewaona wamepanda juu ya boneti ya gari nje ya nyumba yangu.
Nikawa naomba dua wasiruke hapo kabla sijawapiga picha.
Picha...
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Langi ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte. Alizaliwa akiitwa John Gideon...
Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani...
KITABU ADIMU KUTOKA MAKTABA YA HAMISI HABABI
Hazina hii inatoka katika Maktaba ya Hamisi Hababi.
Hiki ni kitabu cha maisha ya Sheikh Kaluta Amri Abedi mmoja kati ya wazalendo walipigania uhuru...
Wakuu Habari zenu?
Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese.
Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea...
SIKU MOJA ASUBUHI MOJA HAMISI HABABI NA MIMI NYUMBANI KWA NA KANALI AYUBU SIMBA
Hamisi Hababi kama walivyo Wamanyema ni watu wa ari sana.
Hamisi anakwepa sana kuitwa msomi au kumwita...
Wadau,
Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake...
The world's largest mounted skeleton of dinosaur discovered in Tendaguru Tanzania (1907-1913) displayed in National History Museum in Berlin, Germany. Its 13.27m tall and about 250 tonnes weight...
KITABU CHA MAISHA YA KANALI AYUBU SIMBA
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka wa 1988 katika kuadhimisha Miaka 30 ya Azimio la Busara Tabora alisema CCM iwatafute wale wote...
Kaka Mohammed Said,
Kwanza nakuamkia.
Pili, khutba zako kwenye social media zinaendelea kuwapotosha watu kuhusu mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Bila ya mapinduzi haya wengi wetu...
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE
Nakumbuka kama jana vile.
Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa...
‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA
Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba.
Hababi alipata...
NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s
Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950.
Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.