SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
Picha hiyo hapo chini nniliipata kwa Jim Bailey aliyekuwa akimilika gazeti la DRUM.
Picha hii haikuwapo kabla ya mimi kuipata na kuiweka...
Ni wachache sana kukuta mtu anaeleza vita vilivotokea kwenye taifa moja kwa jina Macedonia.
Vita hivi vilianza 1991-2001.
Mwendelezo wa vita hii ni sababu za ethnic conflict kujikuta taifa...
Taarab ina historia ndefu katika muziki wa Tanzania kama ulivyokuwa muziki wa dansi. Wapenzi wa taarbu wa zamani waliiweka taarabu katika vyanzo kama Taarab ya Tanga, Taarab ya Dar es...
WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993
Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama...
SEHEMU YA KWANZA.
Kwa wapenda filamu wengi Africa na duniani kote jina la Rambo ni jina maarufu mkombozi wa wanyonge dhidi ya tawala za kibabe za Vietcong ndani ya Vietnam na hata kule Cambodia...
WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993
Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama...
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI/SIKU YA WANAWAKE TANZANIA
NYANGE BINT CHANDE MWANAMAMA ALIYEJITOLEA NYUMBA YAKE KUWA OFISI YA TANU KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Kuna mtu alipata kusema kuwa utafika...
HISTORIA KATIKA PICHA MBILI 1955 NA 1993
Picha hizo mbili hapo chini zimepishana miaka 38 kwa mkato na kifupi unaweza kusema zimepishana miongo minne yaani miaka 40.
Picha ya kwanza ni mkutano...
Salaam WanaJF,
Uzi huu ni wa kupeana taarifa na makavazi kuhusu mawaziri hawa wawili wa zamani waliowahi kuwa wizara moja.
Je, wana mchango gani katika kujenga sekta ya viwanda na biashara...
Ndugu Wanajamii habari, karibuni sana kwenye mdahalo unaohusu historia ya Afrika ilipotoka, Ilipo na Inapoelekea.
Mahali: Mbezi Beach, Daniel Chongolo Street, mkabala na Shule ya Msingi Daniel...
Historia Fupi ya Vitukuu vya Nabii Nuhu
Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu ya Biblia Mwanzo 10:1-32 Biblia imeonyesha uzao wa watoto wa Nuhu ambao ni Shemu, Hamu na Jafeti uzao ni kama ifuatavyo...
Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU
Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha
Kama vuguvugu kutoka kwa...
Kuna historia zinadai kuwa Wayahudi walikuwa ni watu weusi na walipoondoka israeli mpaka wanarudi sio wayahudi wale.
Ilo linathibitishwa na vitabu vingi ni kweli?
Mpaka leo hakuna rekodi wala kutokea kwa binadamu kutoka kwenye ndege na kuanguka ardhini na kupona.
Historia hii ina muangukia mwadada Vesna Vulović.mpaka kumuingiza kwenye kitabu cha maajabu ya...
BI. TITI MOHAMED AWAFICHUA WALIOKUWA WAKIMUONGOZA KATIKA HOTUBA ZAKE ZA KUHAMASISHA WANANCHI
Makala hiyo hapo chini nimeandika baada ya kusona video fupi ya mahojiano ya Bi. Titi.
Haya yaliyomo...
Paa la Afrika.
Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika...
Likely dating to between 2,200 and 2,400 years ago, the toilet — consisting of a bowl and pipes leading to an outdoor pit — was unearthed in the ruins of the palace in Yueyang City Ruins, an...
Je? Air force one inasiri gani nzito inayo fanya ndege hio Ya kimarekani inayo mbeba raisi wake kuogopwa zaidi,Watu wengi wamekua na mawazo na maswali mengi kuhusu Maajabu ya ndege hii ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.