Mnamo Agosti 28 mwaka 1963, karibu watu 250,000 walikusanyika kaika bustani ya kihistoria ya Lincoln Memorial mjini Washington-DC kumsikiliza mtu huyu akizungumza.
Jina lake lilikuwa Dkt Martin...
MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽
~
MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI)
- 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu.
- 3,118 KK - Mfalme Menes...
Kwenye biography yake, Malcom X anaelezea jinsi alivyonunua suti aina ya zoot alivyofika jijini Boston.
Suruali ya bluu, magotini ikiwa na upana wa nchi thelathini, kisha inapungua upana kuelekea...
Its TBT day lets motivate...
.
Naam!
.
Alikuwa ni mtu mweusi ... alikuwa akifahamika kwa jina la . . .
.
Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a...
DUA YA MUHAMMAD ALI KINSHASA 1974
Kwenye kitabu cha maisha yake, "The Greatest My Own Story," Ali anaeleza vipi mzee mmoja kutoka Cuba mchuaji wake misuli alivyokuwa anamnanga kuhusu yeye kujiita...
SEHEMU YA PILI
Khamis Abdulla Ameir kulia na Ahmed Rajab wakiwa mkutanoni African Union mwaka wa 2013
Huko nyuma nimeeleza kuwa nitaeleza ni waandishi gani walioandika vitabu vya kutisha...
Karibu tena na uzi mwengine!
Siku kama ya leo katika mwaka 1958, kulitokea mauaji, sijui nisemeje lakini iko hivi...[emoji116]
Mwaka 1958 kuna dogo wa miaka 16 aliyekuwa akifahamika kwa jina la...
Kupitia thread hii ,wana JF naombeni tujuzane historia na mambo tofauti tofauti yaliyo weza kutokea katika siku husika ambayo utakuwa na kumbukumbu nayo.
Mchangiaji unaweza ukaelezea kisa...
RAJAB DIWANI KAMANDA WA VIJANA
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa kila ninapoona picha ya mtu maarufu katika wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika nitafungua kitabu cha Abdul Sykes kutazama...
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo.
Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu...
MWANACHAMA BORA JAMIIFORUMS STORIES OF CHANGE 2022
Picha zilizopo hapo chini zinajieleza zenyewe.
Nawashukuru sana JF kwa heshima hii waliyonipa.
Huu ni mwaka wa pili mfululizo napewa heshima...
Mwanariadha mlemavu Alex Roca Campillo, ambaye ana ulemavu kutokana na kupooza kwa ubongo, aliweka historia kwa kukamilisha mbio za marathon za Barcelona katika muda wa chini ya saa sita...
Alexander The Great harakati za kutawala Ulimwengu.
Ili uweze kufahamu zaidi ni jinsi gani Alkebulan (Bara la Afrika ya sasa) ilivamiwa na Wakoloni inakupasa kujua historia ya Mfalme Alexander...
Swali fikirishi.
Kabla ya ukoloni wa Berlin Tanzania ama specifically Tanganyika haikuwepo, katika confinement ya mipaka ya sasa. Ni phenomena waliyoitengeneza wao.
Katika kudai Uhuru kulikuwa...
Ni wapi Julius Nyerere aliwazidi "ujanja" wazee wa mjini,born town na Watoto wa K'koo? Wazee wake na gwiji wetu wa historia Mohamed Said
Ukifuatilia historia na harakati za Uhuru,unaona kuwa huyu...
Dr. Livingstone huyu ni mmoja wa wamissionary waliotumwa na kampuny la IBEACO kuja kueneza dini barani Africa, na yeye alifika na kueneza dini eneo la Africa mashariki yaani Kenya, Tanzania na...
HAKUNA TAIFA LA KUINGUSHA MAREKANI KATIKA DUNIA HII, MAREKANI ITAJIANGUSHA YENYEWE.
Na Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Monday-5/12/2022
Marangu, Kilimanjaro, Tanzania
Hadithi yetu inaanzia hapa...
BABA WA TAIFA AKIKEMEA UDINI
Mjamaa wa kisasa anamnukuu Baba wa Taifa katika suala la udini msome hapo chini:
- Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa Ni kiongozi aliyepiga...
Aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa taifa huru la Afrika ya kusini alifahamika zaidi kwa majina mawili ya Nelson Mandela.
Hayati Mandela aliyezaliwa 1918 na kufariki 2013 alikuwa na majina mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.