Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo...
49 Reactions
297 Replies
13K Views
CHURA WA KIHANSI Taxonomy 👉Kingdom⟹ Animalia 👉Phylum ⟹ Chordata 👉Class ⟹ Amphibia 👉Order ⟹ Anura 👉Family ⟹ Bufonidae Vyura wa kihansi kwa jina la kisayansi wanajulikana kama...
6 Reactions
39 Replies
8K Views
Familia yake ilifanya misa ya kumbukumbu jana nchini Morocco, hao wamama wawili ni wajane wa Mobutu na ni mapacha kutoka tumbo moja. Hawa wanaume ni watoto wa Mobutu. Mobutu aliwekeza mali...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna clip inazunguka mitandaoni ikieleza mengi kuhusu Tanganyika. Kubwa linaloshtua watu wengi ni kusema imani kuu nchini ni Ukristo. Nimeandika makala hiyo hapo chini kutanabaisha kuhusu historia...
11 Reactions
194 Replies
7K Views
Watoto Ni kawaida yao kumuamini mzazi wake kwa 95% kuzidi lolote/yeyote 5% kwa kuwa anafahamu mzazi Ni binadamu salama kwake kuzidi binadamu yeyote.. NI muhimu kutumia fursa hii ya kubahatika...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
MWALIMU WANGU MZEE KISSINGER MZEE KISSINGER WA MTAA WA CONGO CHUO KIKUU CHA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu...
1 Reactions
3 Replies
566 Views
Picha inajieleza;Inasemekana hadi mama Maria alishawahi kumpiga huyu mama wa kizungu makofi maana aliona kama anataka kuleta za kuleta maelezo yapo kwa picha
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tusiishi kinyongeee
0 Reactions
3 Replies
749 Views
JUMA "MENSAH" PONDAMALI ALIVYOIPA USHINDI TANZANIA KUFUZU KOMBE LA AFRIKA DAG HAMMARSKJOLD STADIUM NDOLA ZAMBIA 1980 Sote tulikuwa kimya tukimsikiliza Juma Pondamali akituhadithia kwanza jinsi...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Binadamu na viumbe wengine wana tabia kuu zinazofanana. Viumbe wote wanazaa, kula, kuhema, kuhisi, kutoa uchafu na kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tabia zote hizi huwezi kuzizuia Wala...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau. Ninakiweka kisa hiki...
14 Reactions
92 Replies
9K Views
Menai ni jina la mlango bahari uliopo katika bahari ya nchi ya Wales.Eneo hilo la mlango bahari limewahi kukumbwa na ajali nyingi za meli lakini hizi ajali tatu zimeandika historia ya kipekee...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970 Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
kopites said: ''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣 JIBU LANGU KWA KAPITES Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
1962 uliibuka mgogoro ambao ulitaka kupelekea vita kati ya nchi ya Cuba na Marekani mara baada nchi ya Marekani kugundua kuwa USSR inaweka makombora ya Nuklia nchini Cuba, Nchi ya Cuba chini Fidel...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Yapo majina ya mabondia ambayo hayatajwi kabisa kwenye historia ya mabondia ambao wame acha rekodi kubwa ,lakini leo utafahamu bondia ambae ameacha rekodi kubwa lakini jina lake huwa halitamkwi...
1 Reactions
2 Replies
944 Views
HISTORIA YA MAGEUZI NCHINI TANZANIA KWA KIFUPI SANA Binala. Nimerudi. Kama nilivyoahidi, nitarejea historia ya mageuzi ya kisiasa hapa nchini, japo kwa kudodosa kidogo tu. Ninayoandika hapa si...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwanini wawili hawa walipashana kiasi cha Tuntemeke kuwekwa kizuizini kijijini kwao? Nini hasa ilikuwa sababu ya ugomvi wao?
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom