Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

HARRY BELEFONTE MIAKA 96 Miaka ya mwanzoni 1970s nilikuwa napita nje ya ofisi ya British Airways. Mbele yangu nikawaona Harry Belafonte na Sidney Poitier wanatoka katika ofisi hiyo...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Karamu au banquet ni chakula maalum kinachoandaliwa kwa heshima ya mgeni. Banquet ni nafasi ya mwenyeji kuonyesha uwezo wake kwa wageni wake. Mwenyeji hupika chakula cha gharama, mara nyingi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Coca-Cola ni kinywaji maarufu cha sodiamu kinachojulikana kote ulimwenguni. Kinywaji hiki kilianzishwa mwaka 1886 huko Atlanta, Georgia, Marekani na daktari wa meno aliyeitwa John Pemberton...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Biashara ya kwanza ya baa ya maziwa ilianzishwa na Muingereza huko India mwaka 1930, James Meadow Charles alipofungua baa yake huko Bangalore iliyoitwa Lake View Bar. Wazo hilo likaanza kusambaa...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
HARRY BELAFONTE NA HAMZA AZIZ Hamza Aziz kazaliwa Mtaa wa Kipata mtaa ambao mimi nimezaliwa. Babu yangu Salum Abdalah alikuwa na nyumba Mtaa wa Mbaruku jirani na nyumba ya Aziz Ali baba yake...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
MAGOMENI KWA ZITO USIKU Miaka ya 1970 kulikuwa na mgahawa Magomeni Mapipa si mbali na hoteli ya Butiama ukiitwa Michuzi Mikali. Mwenye mgahawa huu jina lake lilikuwa Shomvi na alikuwa shabiki...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
MBALI NA PAKA WAKE NA MWENYE PAKA MBALI NA NYUMBANI Wingu limetanda na vua linadondoka ile mvua Mwingereza atasema, "It is raining cats and dogs." Mvua na wingu jeusi huleta kitu kinaitwa...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Watawala gani makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika na kwa sababu gani? Mimi Nafikiri wafuatao 1.Mfalme Leopold II wa Ubelgiji Alikuwa pia mtawala wa Congo DR ya sasa kati ya mwaka 1885...
6 Reactions
138 Replies
24K Views
Mambo vp jamiiforums. Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya...
13 Reactions
70 Replies
12K Views
ZANZIBAR KINYANG'ANYIRO NA UTUMWA TOLEO LA PILI Kuna vitabu vinazaliwa tayari vishakufa na kuna vingine vinazaliwa njiti. Kitabu hiki Zanzibar Kinyan'ganyiro na utumwa kuwa kimechapwa toleo la...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
UKITAJA BIASHARA YA UTUMWA Duniani unaitaja Zanzibar #Unguja ambayo ndicho kilikuwa kitovu na soko kuu la Biashara hiyo ambapo watumwa walikusanywa kutoka pande mbalimbali Afrika (Kongo, Burundi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
NA AnonymousAfrica #Twitreporter Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
Leo naleta Tabiri 13 za Baba Vanga , Ambazo zimewaacha watu midomo wazi .... Baba Vanga ni Jina la Mwan mama Mmoja kutoka huko "Vangelia - Macedoni "" .Vile vile wana Muita " NOSTRADAMUS OF THE...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
AlijiGoogle akakuta kaandikwa na mtu asiyemfahamu, na kila siku kunajiupdate na taarifa zinakuja kuwa sahihi. Akafa kama ilivyoandikwa. UZI[emoji3468] ~Anaitwa Annora Petrova, alizaliwa Mei 5...
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Naamini bila ya chembe ya wasiwasi kuwa kwa sasa historia ya Iddi Faiz Mafungo inafahamika na wengi. Iddi Faiz Mafongo Mweka Hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika aliyesimamia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao...
13 Reactions
131 Replies
6K Views
Back
Top Bottom