TUENDELEE NA HISTORIA YA CHAMA CHA (A.A).
Picha namba (1) inaonyesha jengo la ghorofa mbili lenye mistali ya rangi ya kijani na nyeupe, jengo hilo lilikuwa ni la chama cha African Association...
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023)
Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani.
Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada...
#History
The story of Kurunmi is one that draws tears from the eyes of people who feel pity for a man who stood firm for tradition.
There was a time in the history of Yoruba where the heir to...
BURIANI LEILA SHEIKH SIKIO NA MWANDANI WA BI. TITI MOHAMED
Wasomaji wangu niruhusuni niweke msg niliyomtumia Leyla Sheikh tarehe 12 December 2022.
(Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili...
“Nilikutana na Saddam mara mbili baada ya kupinduliwa”
Maelezo ya picha. Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akisalimiana na Abu Mahdi al Muhandis, aliyekuwa Kaimu wa Mkuu wa Jeshi...
HISTORIA YA KURA TATU: DUA YA MNYANJANI TANGA HADI HOTUBA YA JULIUS NYERERE PARISH HALL (UKUMBI WA KANISA KATOLIKI) TABORA 1958
Laiti kama si Sheikh Abdallah Rashid Sembe wa Tanga kukubali...
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga...
Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX...
Picha lina anaanza.
Wenzetu weupe wanaingia Barani Afrika, nchini NIGERIA katika jimbo liitwalo BORNO (Borno State) na kugundua madini aina ya Calfornium.
Kisha wanaamua kununua eneo kubwa sana...
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na...
SALEH RAJAB TAMBWE, JOB LUSINDE NA SAMWEL SITTA
Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha Balozi Saleh Tambwe ambae tukifahamiana kwa miaka mingi na yeye akimjua babu yangu katika kundi la wazee wa...
KUTOKA NYARAKA ZA LAWI NANGWANDA SIJAONA: MWALIMU ANAMWAGIZA MSAIDIZI WAKE JOAN WICKENS AMPELEKEE SIJAONA KITABU ''FALSE START IN AFRICA''
Adam Sijaona mtoto wa marehemu Nangwanda Lawi Sijaona...
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿
Julius Kambarage Nyerere.
1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli.
2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho.
3. Kiongozi aliyekuwa na...
Picha hiyo hapo chini kaniletea kaka yangu Ramadhani Kingi kutoka Bukoba.
Huyu ndugu yangu ana hazina kubwa sana ya maandishi na picha ya historia ya uhuru wa Tanganyika katika Maktaba yake...
Srinagar (Jammu-Kashmir)
INGAWA baadhi ya maeneo ya Jammu na Kashmir yanatatizika kiuchumi, eneo hilo kwa ujumla limepata unafuu wa wa utalii baada ya kifungu cha 370 kufutwa mnamo 2019 na...
Srinagar (Jammu-Kashmir) [India], May 31 (ANI):
Though some parts of Jammu and Kashmir are struggling economically, the region overall is seeing a tourism revival after Article 370 was abrogated...
MWINYIMBEGU ( MWINYI) DIBIBI si jina geni masikioni mwa watu wa Tanganyika ya kale na hususan wenyeji wa Upwa wa Pwani ya Tanganyika.
Huyu ni Babu yangu ambaye wanamwita kama ni uzao Mkuu ambaye...
PICHA ADIMU ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea picha kutoka kwa Mshindo Ibrahim ikimuonyesha marehemu baba yake Mzee Ibrahim Mwinyimvua Makongwa aliyepata kuwa Mwenyekiti wa...
HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA KIGOMA UJIJI
Utangulizi
Ndugu yetu mmoja siku chache zilizopita aliturushia picha ya nyumba ya Suleiman Kagobe akaeleza kuwa nyumba hiyo ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.