SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya...
The assassination of Mr Lincoln
Our coverage of the death of the American president
Apr 29th 1865
Share
Abraham Lincoln was shot in Ford's Theatre in Washington on the evening of April 14th...
Pichani ni Julai 16, 1963, Rais wa Jamhuri ya Tanganyika Julius Nyerere akiweka katika koti la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa U Thant pini yenye alama ya mwenge wa taifa.
Kulia kabisa ni...
Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe.
Wachaga walianza kuhamia kwenye...
Nimesimuliwa
Chanzo cha usafiri wa umma kuitwa daladala.
Wakongwe muje hapa.
Alinihadithia babu kuwa zamani miaka ya nyuma kidogo kipindi usafiri wa magari kwa umma umeshamili hasa maeneo ya...
Shaaban Robert Alizawa (1 Januari 1909 - 22 Juni 1962) alikuwa mshairi na mwandishi wa riwaya. Mchango wake katika lugha ya Kiswahili ni mkubwa kwani kazi zake zinaheshimika katika fasihi ya...
WACHA TUSEME, TANZANIA NI YETU SOTE SIO MALI YA WAKRISTO
Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Serikali kuingia kwenye makubaliano ya kuendesha bandari za Tanzania na kampuni ya DP World...
Ndugu zangu hivi history ya mwandishi nguli hapa Tanzania Shaaban Robert imehifadhiwa wapi?
Nimesikia alifanya makubwa sana katika sekta ya Lugha lakini watu hawamuenzi ipasavyo, tasnia ya lugha...
MTAA WA MUHIDIN MFAUME KIMARIO KINONDONI MOSCOW
Leo nikiwa na ndugu yangu mwanahistoria na maktaba inayotembea Hamisi Hababi tumekutana na kibao cha Mtaa wa Kimario Kinondoni Moscow tukaamua...
Kabila la wazinza lipo sengerema, geita na sehemu mbali mbali za kanda ya ziwa
Ambaye anazijua tamadun za kabila la wazinza naomba anijuze
Note: wale watukanaji na wale wenye stress huu sio uzi...
PROF. KISSINGER
Leo mimi, Hamisi Hababi na Sheikh Taufik Kazaliwa tumemtembelea mwalimu wetu Prof. Kissinger.
Kwanza tulikuwa ndani tukapata darsa la Komredi Abdulrahman Babu na Mwana ASP na...
Hii historia ya neno Ikulu nilianza kuisikia miaka kadhaa iliyopita , tangu nikiwa primary, na secondary pia ila ukweli halisi siujui.
Inasemekana pale Dodoma, kulikuwa/Kuna mji unaitwa Mvumi...
Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ...
Africa Ina MASHUJAA
---
MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO
Kama Kuna usemi umeshawahi...
ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954
Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60.
Miongo sita imepita...
KUJUA LEO YAKO UNAHITAJI KUJUA JANA YAKO
Nimeweka picha nne hapo chini tati ni za maandamano ya wananchi yakiwakilisha makundi makubwa mawili katika jamii ya Watanzania.
Picha ya kwanza ni ya...
Huenda ukiulizwa kuhusu Filipino utamtaja Manny Pacquiao, Neno Philipine linatokana na Mfalme Philip wa Uspanish (King Philip) aliyewahi kuishi kwenye viswa hivyo na kuzaana, wafilipino wengi wana...
30 October 2021
Part 1:
Bi Naila Majid Jidawi mwenye umri wa miaka 77, anasimulia kuhusu mumewe, Marehemu, Kanali Ali Mahfoudh, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, akapata mafunzo ya kijeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.