Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa.
-
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na...
Mzuka wanajamvi!
Kati ya makabila yanayopenda na kuthamini Ng'ombe kupindukia ni Herero Namibia, Fulani (Nigeria, Niger, Guinea, Mali, CAR na western Sudan, Maasai, Sukuma na Tutsi.
Vasco Da...
Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza...
MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982.
"Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga.
JAN...
Makamu rais Dr Mpango ameshauri kuwa ni vyema sasa watoto wote wanaozaliwa wawe wanapatiwa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) papo hapo.
Anasema hii itasaidia watoto kutatua changamoto mbalimbali za...
Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi...
Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu.
Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara?
Japokuwa mkoloni alikuwa na...
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila...
MTWA ABDALLAH MKWAWA (1865 - 1898)
Nimefika leo asubuhi Kalenga nikielekea alipokuwa anaishi Mtwa Mkwawa ambapo hapo ilipokuwa nyumba yake sasa ni Mkwawa Museum.
Ukisimama barabarani na...
MAALIM ALY BASALEH SHEIKH SHUJAA
Nimepata taarifa ya kifo cha Sheikh Aly Basaleh msikitini petu Masjid Nur leo baada ya Sala ya Maghrib.
Nilipofika nyumbani kitu cha kwanza nilichofanya ni...
Niko matembezini Tabora, kwenye kijiwe kimoja Nimekutana na Mzee mmoja mstaafu anaitwa Mzee Moshi, amenipa kisa kimoja.
Kuna Rubani shujaa sana wa kitanzania Brigedia Shimani (sina hakika kama...
Chen Boda, aliyepata kuwa “Top Pen” wa Chama cha Kikomunisti cha China. Picha kwa hisani ya Memoires de Guerre
SI kwamba najaribu kujipendekeza kwa muasisi na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia...
Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Abdulrahman Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za...
Mwaka 1896 Kampuni ya kikoloni ya serikali ya ujerumani ya Germany East Africa Plantation (Deutsche-Ostafrikanische Plantagenge Schellshaft) walianzisha shamba la majaribio ya kilimo cha kahawa...
DAR-ES-SALAAM YANGA AFRICANS YASIMAMISHA MAANDAMANO MSIKITI WA MAKONDE ILIPOTOKA ADHANA
Waandamanaji wa Yanga waliokuwa katika maandamano makubwa wakiwa wamebeba kikombe chao cha ubingwa wa Ligi...
Kwa hisani ya Wikipedia,
Bibi Titi Mohammed (1926–2000) was a Tanzanian politician. She was born in 1926 [1], in Dar es Salaam, Tanzania to a Muslim family. She was a close friend of the...
Na Ahmed Rajab
PROFESA Mohamed Hassan Abdulaziz aliyefariki dunia jijini Nairobi asubuhi ya tarehe 10 Julai akiwa na umri wa miaka 91 alikuwa gwiji wa isimu, Kiswahili na Kiarabu. Zaidi ya hayo...
Franklin Boukaka ambaye mwanzoni alikuwa akijulikana kama Francois Boukaka alikuwa mwanamuziki mzuri sana kule Republic of Congo (siyo DRC). Alikuwa na ndoto kubwa sana na mwelekeo wa Afrika baada...
Anaandika Mo Mlimwengu.
Yule bwana aliyesema mwenda bure si mkaa bure kuna kitu alikiona. Mgagaa na upwa siku zote huwa hali wali mkavu. Mlimwengu mimi nikaona itakuwa dhambi kubwa kwangu kufika...
Julius Kambarage Nyerere alikuwa Mwanasiasa na Mwanafalsafa ambaye alikuwa kiongozi wa kwanza wa Tanganyika (sasa Tanzania) na rais wa kwanza wa nchi hiyo baada ya uhuru. Alikuwa mtetezi wa uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.