SIKU NILIPOKUTANA NA SALIM HIMIDI
Hii makala ni taazia niliyomwandikia rafiki na ndugu yangu Salim Himidi alipofariki Paris.
Mtu aliyenijulisha kwa Salim Himidi ni Mohamed Mshangama.
Nimeipata...
MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA WAPIGA VIBOKO WA SOKO LA KASA PEMBA
Sijapata kukutana na Mzanzibari nje ya Tanzania asiwe na historia ya mateso yaliyoifika familia yake au watu anaowafahamu baada ya...
Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia...
Na Ahmed Rajab
SIKU hasa siikumbuki. Lakini mwezi na mwaka naukumbuka. Na siku zenyewe kwa jumla ninazikumbuka. Zilikuwa siku za Morogoro Jazz Band na Mbaraka Mwinshehe. Simba Wanyika hawakuwa...
Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA...
Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa.
Kadiri matukio ya...
Leo katika pita pita zangu za kusoma vitabu, nakutana na historia iliyojaa maajabu, vichekesho, hatamu na mafunzo. Historia ambayo iligusa moyo wangu na kuamua kuiandika angalau wengi wao...
SHEIKH JUMA MWINDADI
Imenichukua miaka mingi kuitafuta picha ya Sheikh Juma Mwindadi.
Hatimae picha ya Sheikh Jjuma Mwindadi nimeipata kutoka kwa familia yake.
NImefahamishwa kuwa ingawa watu...
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la...
DOLA YA MRIMA (KILWA): ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D)
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Sunday -7/9/2016
Kilwa Masoko, Kilwa - Lindi, Tanzania.
Mji wa Kilwa ni mji maarufu sana...
Kama kuhamisha kabila toka kwenye asili yao kuwapeleka sehemu isiyo asili yao ni jambo linalowezekana je, katika muktadha huo na mantiki hiyo unaweza kuwahamisha Wazanaki toka Butiama kuwapeleka...
Jumatano ya Desemba 13, 2012 ilikuwa ni siku ya majonzi kwa wapenzi wa muziki wa dansi hapa Tanzania, Afrika ya Mashariki na ulimwenguni kwa ujumla. Siku hiyo ilikuwa ni miaka miwili kamili toka...
PICHA HII INAWEZA KUKUTOA MACHOZI
Dr. Salmin Amour aliyekuwa Rais wa Zanzibar alipotembelewa na Dr. Hussein Mwinyi nyumbani kwake.
Dr. Salmin kanyanyua mikono anamwelekea Allah kwa dua na dua...
Suala ukombozi wa bara la Afrika kutoka kwenye mikono ya wakoloni na ukoloni mambo leo baaada ya ukoloni halisi halikuwa kazi rahisi lilihitaji mchango wa jasho na damu kutoka kwa kila kundikatika...
Katika kabila lenye matabaka mengi Tanzania ni la Kichagga.
Na lugha zinabadilika kulingana na eneo ndio mana unakuta ukianza Rombo mpaka Siha lafudhi ni tofauti japo tunasikilizana vizuri lakini...
UKARIMU WA WATU WA PEMBA
Wenyeji wangu wananitembeza kila sehemu Pemba. Ndani ya gari yetu kumetiwa maji ya kunywa, majamvi na viti vya kukunja ikiwa vitahitajika.
Maji ya kunywa kuchukuliwa...
Habari zenu wanaJF, natumai hamjambo na kila mtu yupo zake vema katika kupambania kombe.
Leo kama mada inavyosema nilitaka nipate zaidi ya nikijuacho ikiwezekana nifute nilichonacho au niongezee...
Kilwa Kisiwani ni jina la kijiji kikubwa kwenye Kisiwa cha Kilwa karibu na mji wa Kilwa Masoko katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Ndipo mahali pa mji wa Kilwa ya kihistoria iliyokuwa mji mkubwa...
DOLA YA MRIMA (KILWA) ILIOKUWA TAIFA KUU AFRIKA KARNE YA KUMI (1070 A.D)
NA: COMRED MBWANA ALLYAMTU.
Mjii wa Kilwa ni mji maarufu sana barani afrika kwa sifa zake sio kwamba kwa sababu ya jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.