''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980)
Kitabu cha Prof. G.A. Mhina
Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana.
Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980...
WANACHAMA WA MWANZO WA TANU WALITOKA RUFIJI
Shughuli ya usajili wa TANU ilifanywa na watu watatu wenye kadi zinazoongozana: Julius Nyerere kadi no. 1, Ally Sykes kadi no. 2 na Abdul Sykes kadi...
Nafanya research juu ya african folktales nawish ziwe documened kama zilivyo za wazungu mfano king arthur wa uingereza na thor kwa Scandinavian.
Katika research yangu nimegundua nyingi za...
Wadau nawasabahi.Baada ya TANGANYIKA na ZANZIBAR kuungana Nchi ya TANZANIA ikapatikana na Nchi ya ZANZIBAR ikaendelea kuwepo ikiwa na Bendera na RAIS WAKE lakini Nchi ya TANGANYIKA IKAFA .
Katika...
Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.
Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini...
Tangu karne ya 7 kilwa kisiwani palikuwa pakikaliwa na wenyewe ambao walikuwa ni kabla la wamwera. Kabla ya ujio wa persia mnamo karne ya 9 tokea hapo wenyeji hawakuwahi kujitawala tena.
Wakoloni...
Wengi wetu miaka 21 nyuma tarehe kama ya leo tunaikumbuka siku hiyo tukiwa na umri tofauti na majukumu tofauti. Wengi wengine walikuwa baddo hawajazaliwa au walikuwa wadogo sana kiasi hawajaelewa...
Ikifika kipindi Cha mwisho wa mwaka December nyimbo za Christmas upigwa ila nyimbo kubwa zaidi ya jingle bell.
Nyimbo hii ilitengenezwa makusudi kwa watumwa weusi waliokuwa wakifungiwa kengele Ili...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia...
Morogoro ni mkoa mojawapo wenye MAKABILA mengi hapa nchini. Zifuatazo ni wilaya na MAKABILA yake
1. Halmashauri ya Morogoro: Hii wilaya maarufu kama Morogoro Vijijini, makabila yanayopatikana ni...
Na DaVinci XV
Naam
Wakati huko duniani Caesarian section (Kuzaliwa kwa mtoto kwa njia ya upasuaji) inaingia kwenye vitabu ya medical na Midwifery kwa mara ya kwanza na kuweka miongozo na...
Kwa wale tulioingia Chuo Kikuu cha Dar-es –Salaam faculty of Medicine enzi hizo intake ya mwaka 1982 tutamkumbuka ndugu yetu huyu mcheshi sana Rosemery Nyerere.
Miaka hiyo intake moja ilikuwa...
WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU
Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe.
Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU...
Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na...
*Don’t go anywhere I want to talk to you.’’
(Muhammad Ali shouting at Sal Davis, Frankfurt, Germany 1966)
‘’When I was in Paris I used to stay late to watch Ali’s fights. He had defeated Sony...
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii...
HISTORIA IMEMSAHAU MZALENDO HUYU
MAULID HASSAN
Imeandikwa na Kizito Mpangala
Anapatikana Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma.
Ni kamanda mwenye umri wa miaka 90 sasa.
Maulid Hassan ni...
HISTORIA YA TUNTEMEKE SANGA MBUNGE WA ZAMANI WA MAKETE.
Tarehe 8 Desemba 1930 huko Lupaso, kijiji cha Bulongwa, Njombe, alizaliwa mtoto wa kiume mwenye afya tele. Mtoto huyo, ambaye alikuja...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: YALIYOMFIKA PROF. KIGHOMA ALI MALIMA HAYAJAMKUTA KIONGOZI YEYOTE KATIKA HISTORIA YA TANZANIA
Ally Sykes alikuwa na kawaida kuwa akiwa na mgeni yeyote ndani...
HISTORIA YA PEKEE YA PEMBA NA WAPEMBA
Wenyeji wangu wamenifikisha Wete kiasi cha saa nne asubuhi jua limepanda na mji umechangamka.
Gari yetu imeegesha pembeni na mkuu wa msafara katoka nje na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.