Ni Maj.Gen.Benjamin "Ben" Msuya wakati huo akiwa na cheo cha Lt.Col.
Ndiye aliyeongoza kikosi vya JWTZ kilichotwaa jiji la Kampala.
Huyu ndiye aliyelazimika kulidhibiti jiji la Kampala na Ikulu...
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd...
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya:
"Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari."
Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya...
Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa).
Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya...
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU
Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon.
Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi.
Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia...
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya:
"Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari."
Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
KAVAZI LA DR. SALIM: JENERALI ULIMWENGU, GAZETI LA RAI NA UGOMBEA WA SALIM UCHAGUZI WA 1995
Katika Kavazi la Dr. Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 March 1995 na...
Kuna story ya kweli ila imebaki kumbukumbu kama picha niliyoweka hapo chini.
Kwa historia fupi kama mtakuwa na kumbukumbu vita ya Vietnam miaka Nov 1, 1955 – Apr 30, 1975.
yenye sababu nyingi...
JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM
Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr...
Comrade Ali Sultan Issa Al-Ismaily, who passed away on January 3, 2022, three months shy of his 90th birthday, was iconic, if controversial, figure in Zanzibari politics. The fact that his death...
MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA
Kaandika aliyeandika:
"Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere...
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W...
Katika ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action, mapenzi, vichekesho, wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea. Taarifa nilizonazo Masoud...
Nimesoma kuhusu kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim.
Hakika ni jambo kubwa sana kwetu na nadhani yeye ni wa kwanza kufanya kitu hiki.
Mimi nilibahatika kukutana na Dr. Salim nyumbani kwake kwa...
Waandaaji wa kongamano Kituo cha Tarekhe ya Uislam na Wanavyuoni wa Afrika Mashariki na Maahad Juneyd Islamy Zanzibar waliwaalika wanahistoria kujadili ni lini Uliingia Uislam Pwani ya Afrika...
Naomba kujua kuhusu daraja la Salender ambalo liko jijini Dar es Salaam
1. Lilijengwa mwaka gani.
2. Mkandarasi / engineer aliyelijenga daraja hilo.
3. Na ni nani aliyesimama ujenzi...
Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini...
OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960
Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960.
Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii...
NIMEFUKUZWA TENA
BAADA ya kuweka video hii ya TBC nikatolewa kundini:
https://youtu.be/-bwoz3jI7RA?si=rJdx_0PlMIHxm4Wm
Nilikuwa kwenye group moja nikafukuzwa naamini wengi mlisoma makala ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.