HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA
Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule
Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila...
Kati ya mwaka 1947 mpaka 1975 wakoloni waingereza walikuwa ni wamiliki wa kiwanda kilichokuwa kinaitwa TANGANYIKA PACKERS LTD (TPL) kiliajiri wafanyakazi zaidi ya 1200 na walikuwa wanafanya kazi...
Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri.
Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu.
Sijawahi kusikia popote duniani mtu...
Yahoo friends
Words to live by, please read to the end. The last wishes of Alexander the Great:
On his death bed, Alexander summoned his generals and told them his three ultimate wishes:
1...
Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel.
kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango...
Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane...
KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI
TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa...
If you love history, please make time to read this👇
The following are historical facts and nothing less, it was written without religious bias and the information given here is factual;
Zionist...
STAAJABIKA NA KIM JONG-UN (ALMAARUFU KWA JINA LA KIDUKU) RAIS WA KOREA KASKAZINI.
Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini).
Kwa...
Habari wana Jamii,
Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
MAHOJIANO NA MOHAMED VALL WA AL JEZEERA 2007
Jana nilikuwa naangalia Al Jazeera yanayotokea Gaza mara nikamuona mtangazaji wa Al Jazeera, Mohamed Vall anatangaza habari za vita hivi.
Mohamed...
Ukisoma Historia vizuri ya Waisraeli kwenye vitabu vya Dini na historia ya kidunia utagundua waisraeli walipitia misukosuko mingi tangu kipindi cha Musa, hadi kuja kwa Adolf Hitler ambao wengi...
Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi Mohamed Said anaangalia...
Picha zilizopo katika makala haya nilipiga Ukumbi wa Arnautoglo 1993 wakati chama cha National Emancipation Movement (NEMA) kinahakiki wanachama wake 1993 ili kupata usajili wa kudumu.
April 1953...
IJUE NCHI YA ETHIOPIA
Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na...
Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo keshafariki muda mrefu na watu wameandika kama kumbukumbu.
Kwangu mimi ikawa ni msiba mpya na machungu yake naomboleza wakati wenzangu weshapoa...
HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954
Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya...
Wakurugenzi,
Nilibahatika kuzaliwa kijiji kimoja na Chritopher Kasangatumbo, alikuwa si mbinafsi mjamaa wa kweli, nilibahatika kumjua nikiwa kijana mdogo sana pale kijijini kwetu ipole, alikuwa...
BARUA KUHUSU NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA
Barua hizi tatu zinajieleza vizuri na zinajitosheleza kueleza tatizo linalokabili uhifadhi wa historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Katika...
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.
Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.
Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.