Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima...
Maktaba ilibahatika kutembelewa na Mkutubi Festo Liheta kutoka National Archives Dodoma.
Kusudia la safari yake ilikuwa kupata nyaraka.
Tulifanya mazungumzo mafupi:
https://youtu.be/wO86ftnPSa4
Uvumbuzi mwingine mzuri kutoka miaka ya 1900 ulikuwa kamera ya bastola. Iliundwa kwa kamera ndogo iliyounganishwa kwenye pipa la bastola ya Colt .38. Wakati trigger ilipovutwa, bunduki na kamera...
Heshima kwenu,
Katika kitabu cha Biblia, Mwanzo35:10"Mungu akamwambia, jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo lakini Israeli litakuwa jina lako.Akamwita jina lake Israel".
Naomba kueleweshwa...
HISTORIA YA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR KAMA NILIVYOIPOKEA KUTOKA KWA SHEIKH HAIDAR MWIMYIMVUA
Baada ya zaidi ya miaka 60 leo Sheikh Suleiman Takadir anatajwa.
Lakini imekuwaje atajwe ilhali Sheikh...
"Hadi asuswe na Waislamu wenzake, wana TANU na wananchi wote, bali lilikuwapo tatizo kubwa.
Hii haiwezekani ikatokea tu kama bahati mbaya, hapana."
(Kaniuliza Muulizaji)
MOHAMED SAID ANAJIBU...
Kuna historia inayotia mashaka kuhusu imani ya kiyahudi katika Tanzania. Shaka hiyo inaendana na matukio yanayoendelea ndani ya nchi na katika uwanda wa kimataifa.
Kwa mujibu wa historia hiyo ni...
Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi.
Mojawapo ya tawala ilikuwa ni dola ya wachagga (Chagga...
Nyarugusu, Tanzania
Source : Tanganyika TV
VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA
April 14, 2020
SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première...
BARUA YA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MKOA WA DAR ES SALAAM NA HISTORIA YA UTUMWA
Barua hiyo hapo chini inajieleza inakotoka na kichwa cha habari ndiyo hicho.
Wanafunzi watakuwa na safari ya...
HUSSEIN SHEBE NA HAILE SELASSIE
Kipande hicho hapo chini kipo hapa tayari katika makala nyingine.
Hata hivyo nimetamani nikiweke kipande hiki hapo chini kijitegemee na sababu ni mapenzi...
KUMBUKUMBU ZA TEWA SAID TEWA RAIS WA EAMWS TANZANIA
''Tewa, kesho tunakwenda kumpa huyu mtu, Nyerere, mamlaka ya kuendesha nchi hii. Kuanzia hapo, mara tu tutakapomchagua kutuongoza hakuna namna...
BI. TITI HATUTACHOKA KUMTAJA
Antar Sangali ana mapenzi makubwa na marehemu Bi. Titi Mohamed kila apatapo fursa humzuru na kumuombea dua.
Nimepokea picha na mengi kuhusu Bi. Titi kutoka kwake...
KITABU CHA ABDUL SYKES KATIKA PDF
Kitabu hiki kilichochapwa na Minerva Press London 1998 sasa kipo katika pdf.
Nimeshindwa kupata link lakini nimewatumia watu wengi katika Whatsapp peaneni humo...
Alichokisema Socrates kuhusu demokrasia zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Alisema kuwa demokrasia lazima ianguke kwa sababu itajaribu kurekebisha kila mtu. Masikini watataka utajiri wa matajiri, na...
Picha hiyo huyo ni Ilyas Abdulwahid Sykes. Jina la utani udogoni tukimwita "Jaluo."
Kanitembelea nyumbani kwangu na hapa namwonesha Maktaba iliyohifadhi historia ya baba yake marehemu Abdulwahid...
Huyu ndiye ASKARI ambaye sanamu yake iliwekwa pale SAMORA AVENUE ROUNDABOUT -ASKARI MONUMENT. Inasemekana hapo ndio muda aliokuwa amepozi kwa ajili ya kutengenezwa sanamu, kwa jina aliitwa MKAVILONDO.
Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote.
Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.