Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA. Mimi ninaanzisha hii...
2 Reactions
15 Replies
601 Views
MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Picha hiyo hapo chini kaiweka Emmanuel "Jenkins" Muganda. Nimemwandikia maneno haya: Jenkins, Hapo mna historia ya uhuru wa Tanganyika ya kuandikwa kwa wino wa dhahabu. Kwanza Chief Edward...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
INTERESTING HISTORIES INTERESTING STORIES Kuna mtu kaniandikia anatafuta kazi imshughulishe kaniomba msaada. Nimemwandikia hayo hapo chini na nimeweka hapa ili mwingine yeyote atakae shughuli ya...
1 Reactions
4 Replies
399 Views
SAFARI YA KWANZA UNO 1955 MWALIMU NYERERE ALISAFIRI BILA YA KUPATA CHANJO Abdul Sykes anamwambia mdogo wake Abbas, ''Nyerere anasafiri kwenda UNO na lazima adungwe sindano (vaccination). Mimi...
4 Reactions
9 Replies
835 Views
MAJI DEBE MOJA NA MZEGA https://youtu.be/_eRr2funuhI?si=jZorzuT9WHWRpO5o
0 Reactions
0 Replies
287 Views
KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review,"...
12 Reactions
66 Replies
6K Views
BIBI TITI MOHAMED NA BI. TATU BINT MZEE MARAFIKI WAWILI WALIOWEKA MSINGI WA WANAWAKE KUJIUNGA NA TANU Historia ya wanawake kujiunga na TANU inaanza na safari ya Mwingereza John Hatch alipokuja...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya propaganda kubwa dhidi ya waislam lkn ukweli utabaki ukweli. Nimesoma historia zote sikuona nchi ya kiislam duniani ilioshiriki vita 1 na 11 vikuu duniani. Sijasikia popote pale. Nasikia...
3 Reactions
186 Replies
8K Views
MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa. ''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
msaada wakuu, naomba kuuliza NAPOLEON BONAPARTE wa ufaransa alitawala nchi ngapi wakati wa utawala wake?
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Historia ya Osama bin Laden ni moja ya vyanzo vikubwa vya utata na machungu katika historia ya kimataifa, hasa kutokana na kiongozi huyo kuwa mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
KICHWA KIMEHIFADHI MENGI LAKINI NINI SABABU IONDOE AJABU? Kuna wakati naogopa kusema nikihofia watu watasema huyu Mohamed Said ni muongo inawezekanaje yeye amjue kila mtu tena anaweza akasema...
2 Reactions
2 Replies
488 Views
Mnamo 1867, kikundi cha wawindaji kiligundua mvulana mwenye umri wa miaka 6 ambaye alipendelea kula nyama mbichi, alikuwa na shida kusimama kwa miguu miwili, akinguruma kama mbwa mwitu, na...
14 Reactions
132 Replies
11K Views
Mzungu wa kwanza kukanyaga Bukoba alikuwa ni Mjerumani Emin Pasha aliyewasili tarehe 31 Oktoba, 1890, ingawa miaka 30 kabla ya hapo Waingereza wawili, T.H. Speke na T.A Grant waliwahi kufika...
0 Reactions
387 Replies
113K Views
Unamfahamu Shariff Abdallah Attas (pichani)? Mzee Attas aliishi mtaa wa Twiga na Sikukuu nyumba yake ikiwa mkabala na Msikiti wa Shadhili, jijini Dar es Salaam. Katika miaka ya 1950 mzee Attas...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Dini ya urasta ilianzishwa miaka ya 1920 na 1930 huko maeneo ya visiwa vya Caribbean. Mwanzilishi wa imani hii ni Marcus Garvey aliezaliwa mwaka 1887 na kufariki dunia mwaka 1940. Marasta...
19 Reactions
51 Replies
22K Views
MAKTABA NDANI YA KIBATARI CHA MCHINA Inawezekana kabisa kuwa katika wasomaji wangu wakawepo ambao hawajasikia neno, "kibatari," wala hawajakiona kibatari. Nilipata kuwahadithia wanangu kuku...
5 Reactions
6 Replies
646 Views
Back
Top Bottom