Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa kodi ulio rahisi kuutumia kwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
212 Views
Nyumba ya Bi. Azza bint Abdulkheir ilikuwa Zawiyya ya Tariqa Qadirriya lakini nyumba hii pia ilikuwa kituo cha wanachama wa TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mwalimu Julius Nyerere...
2 Reactions
0 Replies
524 Views
TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA "... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi...
7 Reactions
138 Replies
5K Views
Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue...
5 Reactions
47 Replies
11K Views
UKOO WA MUSHI/MOSHI. - Mushi/Moshi ni ukoo mmoja mkubwa sana unaopatikana katika vijiji vingi zaidi Uchaggani, Kilimanjaro pengine kuliko ukoo mwingine wowote wa kichagga ikiwemo ukoo wa Massawe...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
WATCH: What to know about Kwanzaa Kwanzaa, sikukuu ambayo jina lake linatokana na lugha ya Kiswahili, huadhimishwa na mamilioni ya watu kila mwaka, kuanzia Desemba 26. Maadhimisho ya mtu mweusi...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Mwaka wa 1993 ulikuwa mwaka mzuri sana kwangu kwani katika miezi 12 nilikuwa nimesafiri mara tatu tena ukichukulia kuwa mwaka wa 1991/92 nilikuwa Uingereza. Nilikwenda Harare na ulikuwa mwezi wa...
10 Reactions
58 Replies
9K Views
PETER COLMORE, MWENDA JEAN BOSCO NA EDUARDO MASSENGO, KENYA 1959 https://youtu.be/1LH7T6hbKto?si=j8ZNHvlOpbzEOdX4 Majina haya matatu: Peter Colmore, Eduardo Masengo na Mwenda Jean Bosco yana...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Na Kizito Mpangala .. "Mohamed Mkokota, hautaweza kupata eneo la kutawala Uingereza kwa sababu wewe ni mweusi na pia wewe siyo Mwingereza." Lilikuwa jibu la Gavana wa Kiingereza nchi ya...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
https://youtu.be/vbYWViPdGYk Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
FAHAMU HISTORIA YA "WAPARE" WATU BAHILI ZAIDI TZ Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini ya nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare ( Chasu). Wapare wanatokea katika...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
David Wakati alikuwa mzungumzaji wangu sana tukikutana. Nikipenda sana vipindi vyake hasa, "Nipe Habari." Signature tune ya kiindi hiki ilikuwa nyimbo maarufu, ''South of the Border.'' Katika...
9 Reactions
41 Replies
7K Views
Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b).. Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha...
0 Reactions
6 Replies
442 Views
Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
WAZALENDO WATATU WALIOKABIDHIWA USAJILI WA CHAMA CHA TANU NA MMOJA ALIYEWAINGIZA WANACHAMA WA KWANZA TANU Nilialikwa Ikwiriri Rufiji kwenye Bibi Titi Festival. Siku ya Waziri Mkuu Kassim...
4 Reactions
1 Replies
483 Views
Na; Thadei Ole Mushi. Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyofanywa siku sita zilizopita yanatoa somo kwenye mambo mawili makubwa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
JUU YA KABURI LA BUSHIRI BIN SALIM PAMEJENGWA NYUMBA Nimesoma historia ya Bushiri nikiwa shule ya msingi miaka ya 1960 pamoja na historia ya Vita Vya Maji Maji vilivyopewa jina la, "Maji Maji...
18 Reactions
90 Replies
14K Views
KIPINDI MAALUM LEO MCHANA SAA NANE TBC1: JULIUS NYERERE ALIVYOCHAGULIWA KUWA PRESIDENT WA TAA 1953 Katika historia ambayo haifahamiki kabisa ni vipi Julius Nyerere alichaguliwa kuwa President wa...
0 Reactions
14 Replies
759 Views
Back
Top Bottom