Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

MIAKA 40 iliyopita hapo tarehe 7 Aprili, 1972 Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume aliuwawa kwa kupigwa risasi katika jengo la Makao Makuu ya Chama cha Afro-Shirazi hapo...
4 Reactions
17 Replies
6K Views
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Hii ni toka vita vya maji maji...
6 Reactions
77 Replies
2K Views
Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza...
1 Reactions
3 Replies
609 Views
Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri...
0 Reactions
6 Replies
712 Views
UWANJA WA MNAZI MMOJA 1948 Nilipata kuandika katika moja ya mitandao ya kijamii kuwa takriban kila aliyesikika katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika yumo ndani ya Nyaraka za Sykes...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
KUTOKA MAKTABA. Mimi binafsi ni mpenzi wa kusoma sana historia.Ngoja nikupe historia ya wizi wa benki ulitokea nchini Arjentina. MPANGO ULIVYOPANGWA. Kundi la watu hawa walikuja na wazo mwezi wa...
3 Reactions
3 Replies
447 Views
Salam Wakuu! Naomba mwenye kuwa na softcopy ya vitabu hivi anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Wadau nimekuwa nasoma makala nyingi sana zuhusizo Siasa za Tanganyika kabla ya kupata Uhuru. Miongoni mwa hizo Makala ni Kuzaliwa kwa TANU. Ukisoma vitabu vingi vinavyozungumzia Uhuru wa...
0 Reactions
8 Replies
791 Views
KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI NA MUUNGANO: SANDUKU LA KURA LINAPOGEUKA KUWA JINAMIZI CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinakusudia kupeleka hoja ya mabadiliko ya 13 ya Katiba ya Zanzibar ili kuwezesha...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
RAFIKI YANGU PROF. KAI KRESSE WA ZENTRUM MODERNER (ZMO) ORIENT, BERLIN, UJERUMANI Vipi nilifika Ujermani kwenye taasisi kubwa ya utafiti iitwayo Zentrum Moderner Orient ni kisa kirefu na kinaanza...
5 Reactions
12 Replies
755 Views
Tukubaliane kwamba maswali ni mengi sana kuliko majibu katika mambo haya. Kwa watakaofuatilia kwa karibu zaidi mambo yanayotendeka watagundua kuwa ukweli wa mambo ni tofauti sana na jinsi...
26 Reactions
115 Replies
44K Views
Wakuu nimewahi kusoma vizuri Historia ya Wachagga kwenye kitabu kimoja kilichoandikwa na Msweden mmoja, akimzungumzia vyema Mangi Marriale Obe II, na Binti aliyekuwa anaitwa Sia, Aliyesome...
20 Reactions
137 Replies
25K Views
Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkoa wa Tanga una eneo la 27,348 km² na uko Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro...
14 Reactions
113 Replies
32K Views
MASJID NUR LEO SIKU YA MWISHO MWAKA WA 2023 Picha hii nimepiga muda huo unaoonekana katika hiyo saa ya ukutani iliyopo kibla. Ukitazama tarehe tayari inaonyesha mwaka mpya 2024 ushaingia lau...
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Habari jf , Vyanzo mbalimbali vinaonesha Biblia ilianza kuandikwa mwaka wa 1513 Kabla ya kristo na ilikamilishwa baada ya zaidi ya miaka 1,600, katika mwaka wa 98 wakati wa kristo. Vitabu vingi...
4 Reactions
131 Replies
4K Views
Kesi ya madai ya Diamond na watengenezaji wa 'Diamond Karanga' Kesi ya madai ya Diamond na watengenezaji wa 'Diamond Karanga' TZS 2,250,000,000/= Kesi yamalizika kwa SMART INDUSTRY LIMITED wenye...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hili lilikuwa pendekezo la Uingereza wakati wa ukoloni. Image endapo Israel angepata hiyo ardhi hapo Uganda ingekuwaje mpaka sasa. Kwa hali tunayoiyona kwa ndugu zetu Palestine kupokonywa ardhi...
17 Reactions
221 Replies
8K Views
IMEPOKEA WAGENI KUTOKA MBALI NA KARIBU Maktaba leo imepokea wageni kutoka mbali na karibu. Kulia ni Mwalimu Juma Nyuni kutoka MUM, Prof. Kai Kresse wa Zentrum Moderner Orient, Berlin, Ujerumani...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Back
Top Bottom