Kama ulizani umesikia yote, si kweli
Chanzo: Chronicles Rw
UCHAMBUZI
Taarifa au Tetesi si hii ina ikweli kiasi gani?
Tuanze hapa
Karne ya 18 Pwani ya tanganika ilitawaliwa na mportugue ambaye...
Huu ni mtazamo wa kihistoria ambavyo watu wakubwa na wenyewe ushawishi katika jamii ikiwemo viongozi wa serikari, jinsi ambavyo wanaungana kufanya njama(conspiracy) ya kuwanufaisha wao lakini...
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru...
MAPINDUZI YA ZANZIBAR: KUNA MAMBO WAZANZIBARI WANGEPENDA KUYASAHAU
Jana nimeandika hapa kuwa katika mahojiano ndani ya kipindi cha mapinduzi na Azam TV nilijizuia kueleza historia ya yale...
Mwaka jana nilibahatika kwenda Arusha kikazi ambako nililazimika kukaa kwa muda wa majuma mawili. Kuna mambo ya maana nimejifunza kutoka kwa kabila la wachaga, ambayo kama watanzania tukiyatilia...
Historia ya Ng'wanamalundi
Hebu leo mjue vizuri huyu mtu wa miujiza aitwae Ng'wanamalundi shujaa wa Kisukuma aliyewatesa Wajerumani.
Kwa wale waliopata kusoma historia au kusikia hadithi za...
Kigwangalla ahoji viongozi wa umma walionunua nyumba hivi karibuni maeneo ya Masaki na Oyesterbay zenye thamani ya mpaka dola milioni 6, huku akitaja wengine wana mali za namna hiyo sehemu kama...
KUTOKA JF MAPINDUZI DAY MORNING TRUMPET: YALE AMBAYO SIKUYASEMA
Nimekuwa nikishambuliwa kwa maneno makali nikilaumiwa kuwa nilikuwa nakwepa maswali niliyokuwa nikiulizwa mtangazaji wa AZAM TV...
Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki.
Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro.
Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki...
KUTOKA MAKTABA: BAADHI YA VITABU KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MAPINDUZI
Baadhi ya waandishi wa vitabu hivi tulifahamiana na walio hai tunafahamiana.
Baadhi ya vitabu hivi nimevifanyia mapitio...
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari...
Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia
wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari...
MWANAMAPINDUZI JOHN OKELLO
John Okello ambaye aliongoza Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa mwaka 1937 huko Uganda katika kabila la Lang'o ambalo pia ni la Rais wa Zamani wa Uganda Milton Obotte...
LOCATION:-
Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani.
Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu...
Siku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi.
Sharif Mohamed Yahya kutoka Tanga...
Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya...
Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua...
Tarehe 2 Januari 1964, meli iliyofahamika kwa jina la Mv Ibn Khaldun ikiongzwa na kepteni Racchid Ben-Yelles ilitia nanga katika bandari ya Dar es Salaam ikitokea kaskazini mwa Afrika katika nchi...
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV
EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Nimewashauri vijana kwanza...
TANGANYIKA STANDARD 17 JANUARY 1964
Mhariri wa Tanganyika Standard alikuwa Mwingereza Brendon Grimshaw.
Gazeti hili lilikuwa mali ya Lonrho kampuni kubwa sana ambae mkuu wake alikuwa Tiny...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.