Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
HISTORIA ISIYOFAHAMIKA NA WANA NGARA WENGI KUHUSU WABUNGE WALIOWAHI KULIONGOZA JIMBO LA NGARA TOKA UHURU MPAKA SASA. Mara kadhaa kumekuwa na ubishani kuhusu Wabunge waliowahi kuongoza Jimbo la...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
The Arusha Declaration and TANU’s Policy on Socialism and Self-Reliance Written: for Tanganyika African National Union by Julius Nyerere, 1967; Transcribed by: Ayanda Madyibi. The Declaration was...
0 Reactions
15 Replies
946 Views
Si kawaida yangu. Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya. Ukimya huu wa jumla...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA NDUGUZE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
1 Reactions
1 Replies
562 Views
HISTORIA YA KADI YA TANU 1954 Ally Sykes ndiye aliyechora na kusanifu kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Alifanya kazi hii kwa kuangalia na kunakili kadi yake ya Tanganyika Legion...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
MASAHIHISHO YA HISTORIA YA MAULID HASSAN Kizito Mpangala Si kweli Aliyemficha Mwalimu Nyerere ameshafariki alikuwa baba yake Maulid Hassan alifahamika kama HASSAN MANGUNYUKA. Huyu Maulid...
0 Reactions
2 Replies
603 Views
KUELEKEA KUADHIMISHA UHURU WA TANGANYIKA SEHEMU YA PILI: KUSOMESHA HISTORIA BILA KHIYANA Nina wajibu wa kusomesha historia ya uhuru wa Tanganyika kwani wengi hawaifahamu. Nimekuwa nikisomesha...
1 Reactions
2 Replies
432 Views
Klipu ya Televisheni miaka 31 iliyopita , mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
4 Reactions
4 Replies
768 Views
Jina ni Dora Bloch na siyo Dora Block kama ilivyoandikwa katika kichwa cha habari hapo juu. Na: Mwalimu Makoba Mapema tarehe 28 mwezi Juni mwaka 1976, ndege ya Air France ilitekwa na kikundi cha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
LEILA SHEIKH NA UTAFITI WA HISTORIA YA BIBI TITI Ilikuwa ni katika miaka ya 1980 ndipo nilipofahamiana na Leila Sheikh mwanadada kutoka Tanga. Siku hizo ndiyo kwanza alikuwa katoka masomoni...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
BIBI TITI MOHAMED NA HISTORIA YA UWANJA WA MNAZI MMOJA 1950s Katika uwanja huu mwaka wa 1949 walikusanyika makuli wa Bandari ya Dar-es-Salaam wanachama wa Dar-es-Salaam Dockworkers Union...
2 Reactions
0 Replies
462 Views
BIBI TITI FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI: MLANGO ALIOFUNGUA BIBI TITI UMEPITWA NA WANAWAKE IDADI YAO HAINA HESABU Aliyepewa hapokonyeki. Bibi Titi kawika alipokuwa hai. Bibi Titi anawika akiwa...
0 Reactions
2 Replies
560 Views
BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius...
2 Reactions
0 Replies
616 Views
HISTORIA FUPI YA BIBI TITI NILIYOZUNGUMZA UWANJA WA UJAMAA KATIKA KILELE CHA BIBI TITI FESTIVAL Nilifungua kwa kusema kuwa Bibi Titi hana mfanowe. Rufiji ina historia ya pekee katika kupigania...
2 Reactions
3 Replies
683 Views
UTABIRI WA BIBI TITI MOHAMED: HISTORIA YA UHURU ITAANDIKWA NA WATU AMBAO HATA HAMTAWATEGEMEA Bibi Titi alipata kumwambia mjukuu wake Omari Mzee Kitenge kuwa historia yake itakuja kuandikwa hata...
1 Reactions
4 Replies
569 Views
Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia. Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya...
1 Reactions
2 Replies
870 Views
https://youtu.be/m6XH4SGWjDk Ilikuwa wakati Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU. TANU ilifanya mkutano mkubwa sana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
DULLY SYKES Hukaa nikarudi nyuma sana katika fikra. Ilikuwa mwaka wa 1968 mimi na Ebby Sykes tumekaa kwenye kibaraza cha nyumba moja Mtaa wa Mchikichi na Livingstone. Ebby alikuwa ndiyo kafiwa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom