Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

https://youtu.be/EGlJS8PwzoA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI 27 NOVEMBER - 2 DECEMBER 2023 DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
https://youtu.be/0H_o0ZDg7Wg Aisha "Daisy" Sykes mtoto wa kwanza wa Abdul Sykes anasema akiwa msichana mdogo alishuhudia pirikapirika zote nyumbani kwao akimuona Bibi Titi, Bi Hawa bint Maftah...
0 Reactions
0 Replies
393 Views
https://youtu.be/EGlJS8PwzoA DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA. BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam. Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote. . Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka...
10 Reactions
111 Replies
4K Views
Picha: Nakala ya kitabu kilichoandikwa na Profesa Aili Mari Tripp kuhusu maisha ya Joan Wickens na uhusiano wake na Joan Wickens. Kitabu hicho kimechapwa na kampuni ya Mkuki na Nyota Na Ahmed...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
HII NDIO HISTORIA YA FAMILIA YA SYKES. Historia hii inaanzia kwa MZEE SYKES MBUWANE KLEIST. Huyu ndiye baba yake KLEIST SYKES. MZEE SYKES MBUWANE KLEIST ni nani? Sykes Mbuwane ni mamluki wa...
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Miaka mingi imeshapita lakini ningali nikikumbuka bara bara! Tulipokuwa "High School", kwenye moja ya somo la Historia, Mwalimu wetu alituambia kuwa waliokijenga Chuo Kikuu cha Makerere ni...
1 Reactions
2 Replies
628 Views
HUYU NI EMMANUEL MUGANDA WA VoA Leo nimetembelewa na Emmanuel "Jenkins", Mganda ambaye hatujaonana toka miaka ya mwishoni 1968 alipoondoka Tanzania kwenda kusoma Marekani. Leo kanitembelea...
13 Reactions
18 Replies
1K Views
Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Ninasoma Kitabu hiki cha Mzee Mohamed Said kuhusu Waislam kutengwa katika Historia rasmi ya wapigania uhuru. Hapa chini nimeweka nukuu kutoka kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ambacho...
0 Reactions
8 Replies
758 Views
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid0Yf5NxNnZ1K5v9rSmxbeebpyosph5MfRwrBbuJWXt2znjrkvrcQ5yAa83L5B46T7bl&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz DAMU CHANGA KATIKA VUGUVUGU LA KUPIGANIA...
2 Reactions
0 Replies
360 Views
MAGHRIB MOJA MSIKITI WA MWEMBECHAI NYUMA YA SHEIKH PONDA 1998 Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti...
1 Reactions
4 Replies
642 Views
Alikuwa akiitwa Ibrahim Raha maarufu kama mzee Jongo, alikuwa mzee wa makamo na msanii wa viwango vikubwa katika upande wa ucheshi. Kwa wanaokumbuka alianzia redio Tanzania na badae akahamia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ahmed Rajab Maelezo ya Picha. Aliyekuwa Kiongozi wa Wapalestina, Yasser Arafat (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah (kushoto) na aliyekuwa Mufti wa...
1 Reactions
12 Replies
965 Views
Akizindua Ripoti ya utafiti ya athari za upatikanaji wa Nishati ya umeme ,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amesema Vijiji 11,079 sawa na 90% vimefikiwa na umeme na kwamba Vijiji...
0 Reactions
3 Replies
444 Views
Iran was not a Muslim country. Iran i.e. Persia, was Zoroastrian country in 600 BC year. Persians or Parsi people migrated to India (Tatas are Parsi from Persia). Main religion of Iran was...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Lebanon was a Christian country, they opened gate for IsIamic refugees and today Lebanon is an IsIamic country & all Christians are forced to leave. Brigitte Gabriel, a survivor of terrorism...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Operation Entebbe was a counter-terrorist hostage-rescue mission carried out by commandos of the Israel Defense Forces (IDF) at Entebbe Airport in Uganda on 4 July 1976. A week earlier, on 27...
12 Reactions
107 Replies
35K Views
Hapo zamani sana ulaya mashariki,kulikua na kabila moja kubwa sana lilijulikana kama "Slavs". Hawa walipatikana hasa ulaya mashariki mpaka soviet yote,hawa slavs walikua ni kabila kubwa sana ila...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Unajua Zanzibar ya kale enzi izo ikiwa pamoja na Oman Sultanate kwa pwani yote ya Tanzania zilikuwa nazo kuanzia Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara hadi ndani kidogo? Which means kama ingebaki hivyo...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Back
Top Bottom