Mwaka Ule wa Vita ya Kagera majeshi yetu yalivyoingia ndani ya Uganda lengo lilikuwa Moja tu kumsaka Nduli Idd Amin na Siyo kuua Wanawake na Watoto wa Uganda wasio na hatia
Mungu wa mbinguni...
Nipo naendelea Kusoma Kitabu cha Maisha ya Rais niliyemkubali sana Mpendwa Wetu mzee Mwinyi Ruksa
Mwinyi alipelekwa Zanzibar kujifunza Dini ya Kiislamu na akiwa huko Mungu wa mbinguni akambariki...
WANASEMA KWA KEJELI ATI NAJITIA KUJUA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Vitabu hivi vingekeuwa vimeandikwa miaka mingi sana na waandishi na kuwa sehemu ya historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kwa nini...
SPOKES MASHIANE, MILLIE SMALL NA MIMI MAPEMA1960s
Dr. Harith Ghassany kaja Tanga kufanya utafiti wake wa mapinduzi ya Zanzibar.
Baada ya utafiti huu akaandika kitabu maarufu, ''Kwaheri Ukoloni...
Nimefika Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City nyakati za mchana nikitokea Detroit ambako ndiko nilikoingia Marekani nikitokea Amsterdam.
Kutoka Detroit nimepanda ndege ndogo hadi Iowa City na hapo...
Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa...
Azimio la Balfour lilikuwa ni taarifa ya umma iliyotolewa na serikali ya Uingereza mwaka 1917 wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia ikitangaza kuunga mkono harakati za Shirika la Kizayuni kuanzishwa...
Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa.
Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina...
Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu...
Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)
Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya...
JF imekuwa ni mahali pa kupashana habari na kuweza pia kuzungumzia mambo ya historia yetu na mwelekeo wa nchi.
Kuna Huyu bwana anajulikana kama marehemu Dr Kleruu, mie nimekuwa nikimsikia katika...
John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU nyingi iko katika mikono ya watu.
Hakika maneno haya ni ya kweli wala hayana shaka.
Nimepokea nyaraka nyingi na picha kutoka kwa watu zinazohusu...
Jamii ya Ninja ilikuwepo Japan tangu mwanzo wa karne ya 11 katika maeneo ya Koga na Iga, lakini umaarufu wao uliongezeka wakati wa migogoro na vita vya Japan katika karne ya 15. Jamii hii...
NAMI NATUNUKU PICHA KUSHUKURU
Nimemwandikia ndugu yangu aliyenitunuku picha adimu:
"Nami nakupa picha adimu na nyongeza kidogo kukushukuru kwa hidaya uliyonipa.
Katika picha uliyonitunuku yupo...
KAMARA KUSUPA: PENYE UONGO UKWELI UTATAFUTWA
Kitabu cha Abdul Sykes.
Ukweli ni kuwa katika vitabu vyote vilivyoandikwa kuhusu historia ya TANU hakuna hata kitabu kimoja unachoweza kufananisha na...
Toka nikiwa mdogo katika vita ambavyo masikio yangu yamesikia kwa muda mrefu ni vita vya Israel na Palestina. Sina hakika lakini nadhani ni vita ambayo inapigana mara kwa mara. Kipindi kile hakuna...
KAMARA KUSUPA NA DINI ZA KIGENI NA DINI ZA ASILI
Kuna maneno ukiyasoma sharti uingie hofu.
Dini za Kigeni.
Dini za Asili.
Kutoka kwa Mchungaji.
Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa chini ya msaada...
Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate.
Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila...
Habari Wana jamii forum, ningependa kujua kuhusu hawa watu je sio matapeli? Kwa hapa Kibaha maili moja wapo ukumbi unaitwa mwitongo, kwakweli Wana wanafunzi wengi mno haswa kutoka mikoa jirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.