BUNGE: THE THEATRE OF VERY RARE TALENTS
Uwanja wa Manchester United jina lake halisi ni Old Trafford lakini wenyewe mashabiki wa timu hiyo wanauita uwanja wao, "Theatre of Dreams," yaani Jumba la...
NURU BINT SUDI KUTOKA ''MAUTP WANA MAJAMBO TANU WANAICHUKIA'' (1957) HADI ''MAZAO BORA SHAMBANI'' (1967)
Nuru bint Sudi katika wakati wake alikuwa mwimbaji nguli wa taarab kwanza na Al Watan...
Huyu ni kijana na mwanamapinduzi wa kiafrika na mmoja wapo wa wana pan-africanism jina lake anaitwa Malcolm Little lakini aliamua kubadili jina na kujiita Malcolm X ambapo X inamaana ya kitu...
SHEIKH AHMED ZUBEIR MWANAFUNZI WA SHEIKH ABDALLAH FARSY NA MWALIMU NA MLEZI WA VIJANA WENGI DODOMA
Namkumbuka Sheikh Ahmed Zubeir katika miaka ya mwanzoni 1980s ndiyo karejea Tanzania akitokea...
Kabla ya Tanzania kulikuwa na Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilibaki kidogo kuwe na Windsorland, yaani nchi ya Windsor.
Ni hivi
Kabla ya yote hayo hakukuwa na nchi moja kama ilibyo sasa...
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther.
Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa...
The Church of England, or Anglican Church, is the primary state church in England, where the concepts of church and state are linked. The Church of England is considered the original church of the...
MWAKA 1999 SAFARI KUTOKA KILWA DSM KIGOMA ZAMBIA HADI SOUTH AFRICA
Kilwa mpaka DSM kwa usafiri wa basi halafu Reli ya Kati urefu kilometa 1200 Dsm Kigoma, lake Tanganyika , MV Mwongozo...
Nyumba ya Windsor kama tunavyoijua leo ilianza mnamo 1917 wakati familia hiyo ilipobadilisha jina lake kutoka kwa Kijerumani "Saxe-Coburg-Gotha." Babu wa Malkia Elizabeth, Mfalme George V, alikuwa...
DR. SALIM AHMED SALIM NI MTU WA AINA GANI?
Heri ya mwaka mpya wadau wa Uwanja wa Diplomasia.
Poleni kwa kimya kirefu.
Leo tunawaletea maelezo kuhusu mwanadiplomasia nguli wa Tanzania ambaye...
Kiti hiki ndicho alichoketi Bi. Elizabeth II wakati anatawazwa kuwa Malkia wa Uingereza mnamo mwaka 1953. Kimetumika kutawazia wafalme na malkia waliotawala dola ya uingereza tangu mwaka 1300...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Mpaka kufikia sasa (2020) ni miaka 60 imepita baada ya uhuru wa bara letu hili pendwa la Afrika.
Now, what kind of...
David Kidaha Makwaia Pichani, yupo na mwingereza Lord Iveagh siku ya kutawazwa kwa malkia Elizabeth mwaka 1956.
Chifu David kidaha, alikuwa ni chifu wa wasukuma, alifariki dunia akiwa na umri wa...
Huyo ni mjusi/Dinosaur anayeamika kuishi Tanzania miaka mingi iliyopita ambaye kwa sasa mabaki yake yamehifadhiwa katika Makumbusho nchini ujerumani. hio ni moja kati ya maelfu ya kazi za kisanii...
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, Pangani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni Washirazi. Kuna wakati kule Mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
Winston Churchill graduated Sandhurst Military College, an impressive twentieth out of a class of 130, in December 1894.
Churchill received his commission from Queen Victoria with an effective...
MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) KATIKA NYARAKA ZA SYKES 1953
Katika nyaraka za Sykes kuna nakala ya barua ya tarehe 2 June, 1953 kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi...