Katika vitabu vingi vya kihistoria Adolf Hitler amekua akionekana kama kiongozi katili aliewahi kutokea duniani lakini watu hushindwa kuangalia upande mwema wa Adolf Hitler.
kwanza aliongeza...
KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA
Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu.
Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib...
MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM
Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam...
MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU
Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi.
Kilichonifanya...
KITABU "JUHUDI NA CHANGAMOTO" SHEIKH PONDA NA SUALA LA ELIMU
Siku moja Sheikh Ponda kanipigia simu akaniambia kuwa wamefungua shule na ananialika hapo shuleni nizungumze na wanafunzi.
Mimi...
Kama unafuatilia historia za Ulaya basi Ni lazima unamsikia skia mwamba wa Kuitwa Christopher Columbus nadhani ubongo wake ulifanya kazi katika kipindi muhimu ulaya cha Age Of Descovery...
Karl Marx alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani, mwanauchumi, mwanahistoria na mwanahabari ambaye anajulikana sana kwa kazi yake kama mwananadharia mkali wa kisiasa na mwanamapinduzi wa kisoshalisti...
BURIANI RAFIKI NA NDUGU YANGU SALUM ''SLIM'' SHAMTE 1951 - 2020
Nimeingia maktaba yangu ya picha ndani ya photo album natafuta picha moja ya Slim niliyompiga kiasi cha miaka 20 iliyopita mwezi...
National Alliance For Mass Advancement(NEMA)
Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo...
Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi...
December 25 2021 NASA kwa kushirikiana na shirika la anga la Canada na Ulaya wamerushe Telescope yenye thamani ya $10 Million yenye Tekinolojia ya hali ya juu sana kwenda kumulika anga za mbali...
Na. Norbert Mporoto.
Tanzania.
Mei 15, 2021
Uhuru wa taifa la kenya ulibisha hodi kwa furaha, lakini utawala wenye mizizi na mabaki lukuki ya chembechembe za kikoloni uliitia doa historia ya...
TATIZO LA MAJINA YA KIISLAM KATIKA HISTORIA YA VITA VYA MAJI MAJI
Ukisoma historia ya Vita Vya Maji Maji utakutana na jina Mkomanile.
Linaandikwa jina moja tu, ''Mkomanile.''
Kwa nini liandikwe...
HAIKUWA RAHISI SAID KASTICO KUPEWA MTAA...KAMA KAWAIDA
Mtendaji wa Mwenge hakuwa kafurahia sana Mzee Said Kastico kuadhimishwa.
Ugomvi ukatokea hadi ukafika kwa Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya.
Ukoo...
Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani.
cc: Pascal Mayalla, mrangi
Pwani ya Dar es Salaam ambako watu walimpokea muarabu wengi wao majina ya ukoo hawataki kuyatumia na wengi hawayajui, Mfano kuna watu waliitwa Juma Tambaza na Tambaza ni jina la ukoo. lakini...
Habari zenu wakuu!
Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika...
April 28, 2011
HIZI NI KUMBUKUMBU ZA ALI SHETANI AMBAYE ALIKUWA NI KOMRED AU (UMMA PARTY)
Ramadhan MadafuI am not worried about “kibuki” because I may be an even more powerful shetani. In the...
Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa...
MWALIMU KIHERE APEWA MTAA SAHARE TANGA
Tanga imemtunuku Mwalimu Kihere Mtaa kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Siku moja katika miaka ya mwanzo sana baada ya uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.