Mifupa ya kijana yenye umri wa miaka 31,000 iliyofukuliwa kwenye pango nchini Indonesia inatoa ushahidi wa zamani zaidi wa kukatwa kwa kiungo (kwa upasuaji), kulingana na utafiti mpya.
Hapo...
Ni mpenzi wa sanaa au watu mashuhuri waliowahi kuishi na kufanya mambo makubwa hapo zamani? kama ndivyo jina la Leonardo Da Vinci na Michelangelo si mageni kwako.
Sikumoja Leonardo alikuwa na...
BILALI REHANI WAIKELA (1932 – 2022)
Maneno hayo hapo chini yapo katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes:
‘’Napenda kutoa shukrani maalum kwa Bilal Rehani Waikela, muungwana wa Kimanyema na...
Tanzania ipo mikoa, wilaya na sehemu tofauti tofauti na majina yake. Lakini huwa najiuliza haya majina yametokana na nini au ni kwa sababu gani waliita hivyo?
Kwa mfano Msasani nasikia ilitokana...
USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI
Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na...
Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican...
TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953
Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia.
Nimekuta...
Ilitokana na nini?
Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'état in Liberia, 1980
A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup...
TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953
Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia.
Nimekuta...
JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA
Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na...
KITABU CHA SHEIKH PONDA KATIKA MADUKA YA KUUZA VITABU
Kitabu cha Sheikh Ponda ''Juhudi na Changamoto Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre katika maduka yao ya kuuza vitabu yaliyopo katika Misikiti...
Wandugu, salam za mida hii.
Natafuta hotuba ya "SABABU TUNAYO, NIA TUNAYO NA UWEZO TUNAO."
Nataka kusikia hizo "sababu tunazo" na hoja ya Rais ya kwenda vitani kwa mapana na urefu, badala ya...
Swali hili linahitaji jibu; jibu lake linaweza kuwa rahisi au gumu. Lakini ni jibu linalotegemea ujuzi wa historia. Ni jibu linalojaribu kuangalia kama uamuzi wa serikali ya Tanzania kutekeleza...
Vijana ni nguzo ya taifa, hivyo taifa lolote halina budi kua na vijana wenye weledi wa mambo pamoja na utashi katika kufanya Mambo Jambo ambalo linaweza kuwapa historia kubwa hata baada ya mwisho...
Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze.
Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU.
Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza...
The Bombay Africans in the 19th century,
Waafrika waliookolewa na wanamaji Waingereza kutoka jahazi zilizobeba watumwa kwenye Bahari ya Hindi; wengi walikuwa vijana, watoto au wanawake...
BURIANI HASSAN CHIKUSA MSOMI MKIMYA
Naamini si wengi wanamfahamu Hassan Chikusa na yote yaliyomsibu katika maisha yake.
Mimi nilimjua Hassan Chikusa kwa kuwa alikua jirani yangu akiishi kwa...
Wanasema kuishi na watu kuona mengi. Kuna mzee wangu ambaye nilinunua shamba kanda ya ziwa kwa wasukuma. Kupiga stori naye na mda mrefu kunieleza kuwa babu yake alikuwa mtawala wa mwisho wa...