TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER
Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa...
TAAZIA: AUGUSTINO MREMA (1944 - 2022)
Mohamed Mlamali Adam alimwandikia taazia Thabit Kombo alipofariki.
Kalamu ya Mlamali akiandika kwa lugha yeyote iwe Kiswahili au Kiingereza inastarehesha...
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa.
Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za...
KIVULI CHA WAZEE WAZALENDO KINAPOWAFUNIKA NA KUWAZIBA WATOTO NA WAJUKUU: HISTORIA YA KLEIST ABDULWAHID SYKES (1950 - 2017) NA BAKARI HARITH MWAPACHU (1939 - 2021)
Jana baada ya kifo cha Bakari...
KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s
Tuanze na Peter Mbwimbo.
Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.''
Wakati...
Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani...
Kalulu alikuwa ni kijana wa miaka 12 ambaye alinunuliwa kama mtumwa kutoka kwa waarabu huko Zanzibar na mwingereza aitwae Sir Henry Morton Stanley. Mwingereza huyu alikuja kama mpelelezi kwa ajili...
Ijumaa , Septemba 22, 1989 Franco Luambo Luanzo Makiadi alifanya onyesho lake la mwisho maishani mwake katika ukumbi wa De Melkweg jijini Amsterdam Uholanzi. Alipoingia tu katika ukumbi siku hiyo...
MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
Hapa katika kiwanja hicho wazee wetu walipojenga ofisi ya African Association Mtaa wa New Street na Kariakoo kwa kujitolea kufanya kazi ya ujenzi kila siku ya Jumapili...
Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC.
Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na...
ABDALLAH TAMBAZA NA KLEIST SYKES
Nafungua gazeti la Raia Mwema nimekuta katika ukurasa maarufu wa Shajara ya Mwana Mzizima makala haya, "Huyu Ndiye Kleist Sykes Meya Aliyebuni Mradi wa...
ANAITWA GASPAR YANGA
Huu ni urithi wa Waafrika huko Mexico baada ya Christopher Columbus ni mada ambayo haipatikani sana katika vitabu vya historia ya Amerika.
Gaspar Yanga ni mmoja wa watu...
1. Mhe Kingunge Ngombale Mwiru-waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Sera uratibu na Bunge
2. John Joseph Pombe Magufuli-Waziri wa Mifugo na uvuvi.
3. Zakia Hamdani Meghji- waziri wa Fedha na Uchumi...
1931 Cup
Central Government School
Mnazimmoja
Waliosimama kuanzia kulia:
1. Amour Muhammed Al Barwani
2. Muhammed Abdulla Al Ghassany (marehemu Baba)
3. Saleh ( Baba yake alikuwa akiuzwa Haluwa)...
KUTOKA CASSIUS CLAY 1964 HADI KARIM MANDONGA 2022
Kuishi kwingi kuona mengi.
Sikumjua Mandonga hadi alipopigwa na Shabani Kaoneka na kuona taarifa zake mitandaoni.
Hapo ndipo nilipomfahamu...