Shariff Abdalla Attas
(Picha kwa hisani ya Bwana Shomari)
Sie wengine tumekuja kumjua Shariff Abdallah Attas katika utu uzima wake akikaa Mtaa wa Twiga na Sikukuu nyumba yake mkabala na Msikiti...
Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe
Nilikuwa naitafuta picha ya hayati Chief Michael Lukumbuzya kwa miaka mingi bila mafanikio. Sababu ya kuitafuta picha ya Chief Lukumbuzya ni kisa...
KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE?
Naikumbuka siku hii kama jana vile.
Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa...
Habari wanaJF,
Naangalia Tanzania Safari Channel, msimulizi anasemaje Wandali na Wanyakyusa walitokea Kongo. Walipita Morogoro na milima ya Livingstone mpaka Rungwe, wajuzi wa historia hii...
MOHAMED SHEBE CAMERA YAKE NDIYO ILIYOTUHIFADHIA HISTORIA YA TANU, MWALIMU NYERERE NA UHURU WA TANGANYIKA
Picha hiyo hapo chini inamuonyesha Mohamed Shebe kushoto na anaefuatia ni John Rupia na...
WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim.
"Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas...
MTO KONGO
Afrika ni moja kati ya mabara ambalo limebarikiwa sana kuwa na vivutio vya aina mbalimbali. Moja kati ya vivutio hivyo ni Mto Kongo. Mto Kongo ni mto wa pili kwa urefu barani Afrika...
THE PIONEER OF THE EAST AFRICAN SOUND
Franz Yosef Humplick 1927 2007
Frank Humplick with his guitar at his residence in Lushoto 2005
Frank Humplink in His Hey Days in Nairobi
Very few people...
KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR KIPO TAYARI
Rafiki yangu mmoja katika uongozi wa juu Zanzibar na aliyeshuhudia yote yaliyotokea kabla na baada ya mapinduzi alipata kuniambia kuwa ili kuielewa...
WASWAHILI KATIKA KUPINGA UKOLONI BURUNDI
Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir na Waislam wa Burundi inashangaza.
Hakuna Sheikh katika Afrika ya Mashariki aliyeweza kuingia Belgian Congo, Rwanda...
Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya...
MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021
Mkombozi wa Afrika Kusini
Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi.
Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala...
IFAHAMU HISTORIA YA ZIWA NYASA
Ziwa Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki ikiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza...
Wakati huo kuvuta cigar ilikua ni kitendo cha kawaida hasa kwa viongozi. Churchill anatoa cigar kwenye kifuko cha ngozi.
Lugha ya picha inaonyesha wote ni wenye furaha na hakuna wasiwasi.
Kanisa hili lilijengwa na wamissionari wa kanisa la Anglikana katika barabara ya Mkunazini mwaka 1903. Uwanja uliojengewa kanisa ndipo shughuli nyingi za uuzaji wa watumwa zilipofanyika. Kujengwa...
LAITI WATU HAWA WANGEANDIKA KUMBUKUMBU ZAO
Wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki miaka mingi na wengine hivi karibuni na wengine bado wanaishi na nawaombe dua Allah awape umri mrefu...
KIVULI CHA KWAME NKRUMAH KATIKA TANU
Hayo maneno hapo chini yaliyoandikwa na Kwame Nkrumah nimeyaona hapa jamvini na yamenikumbusha ushawishi wake kwa wanasiasa wa Tanganyika wakati wa kudai...
RAJAB MATIMBWA MWANACHAMA NA MWANA KWAYA YA TANU 1954 NA MWANACHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) 1977
Sijui kwanini siku zote ninapowataja wanachaa wa TANU ile ya mwaka wa 1954 huwa namsahau Rajab...
Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO
Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the
General...
KUMBUKUMBUKU ZA ''THEORETICIAN'' KHAMIS ABDULLAH AMEIR ZIKO UWANJANI
Haya ndiyo maajabu makubwa katika historia za Afrika kuwa wanaostahili kupewa sifa hawasifiwi wala hawapewi medali sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.