Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Abeid Karume aliuawa kwa kipigwa Risasi Tarehe 7/4/1972 Risasi nane zilitolewa mwilini kwake mwili wake ulipofikishwa kwenye Hospitali ya V. I. Lemin, mjini Unguja kwa uchunguzi, Sawa na idadi ya...
14 Reactions
62 Replies
15K Views
TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956 Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa. Nairejesha tena hapa jamvini safari...
2 Reactions
0 Replies
652 Views
Baada ya kumsoma Balozi Mpungwe nami nikaona nitie langu kumuunga mkono lakini si leo bali kurejea nyuma miaka mingi sana nikiwa na umri wa miaka 15 mwanafuzi wa sekondari: Ujumbe mzito...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
KURASA DARASA TBC1: UCHAMBUZI WA MAGAZETI, MAJARIDA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA Leo nilikuwa na matembezi ndani ya mitaa na vichochoro vya Maktaba nikimzungusha Mtangazaji wa kipindi cha...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabelgiji waliweka watawala katika vijiji ambao walitumikia Ufalme wa Mfalme Leopold. Baadhi ya wake wa watawala hawa walikua na nguvu kubwa hasa katika jumuia ya wanawake. Mafano ni Malkia...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
NKRUMAH'S CPP AND NYERERE'S TANU 1950s Kwame Nkrumah and the Gold Coast as it was then known had a special place to us. All of us in TANU including Nyerere were great admirers of Nkrumah on his...
2 Reactions
2 Replies
680 Views
AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA Utangulizi Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanasiasa hufanya makosa mengi sana wakiwa madarakani. Wanapoyafanya huwa hawana uwezo wa kupima ukubwa na madhara ya wanachokusudia kukifanya. Ni pale wanapokuwa wanapokea lawama nyingi ndio...
16 Reactions
152 Replies
11K Views
IJUE HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA Promasika / blogger 0 Promasika.Com Na Mwandishi wetu, Washington, DC Nimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO...
8 Reactions
36 Replies
10K Views
NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
-----------------IN FACT---------------------- UNAFAHAMU KUWA URUSI ILIIUZIA MAREKANI JIMBO LA ALASKA? ALASKA ni jimbo lililopo kaskazini-magharibi mwa bara la AMERIKA KASKAZINI,kwa upande wa...
4 Reactions
8 Replies
6K Views
WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu...
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Asubuh ya leo mnisamehe nimemkumbuka. Rafiki yangu Afande Mashaka aliyekufa kifo kibaya zaidi ya miaka takribani kumi iliyopita. Nakumbuka Mimi nilikuwa kidato Cha sita hapo Azaboy, ndipo nilipo...
16 Reactions
72 Replies
7K Views
Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba...
24 Reactions
46 Replies
9K Views
RIZIKI SHAHARI: WANAWAKE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1950s Ilikuwa wakati Julius Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama...
1 Reactions
1 Replies
692 Views
SHAJARA INAREJESHA KUMBUKUMBU NA MENGI ULIYOSAHAU Natamani nikuwekeeni yale mazito niyoandika katika shajara zangu lakini natia natoa maana sheria ya mtandaoni imekuwa kali kidogo. Mengi katika...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wale wahenga mnakumbuka tulizishuhudia zile silaha pale uwanja wa Uhuru baada ya wapiganaji wetu mashujaa kurejea kutoka vitani huko Mutukula. Vita ni uimara na ujasiri wa mioyo na akili za...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
SOKO LA KARIAKOO NA HARAKATI ZA TANU Hii makala nimemwandikia ndugu yangu Kheri Chomba mwenyeji wa Kariakoo kumfariji kuwa asihuzunike pale inapotokea watu wakatucheza shere kwa kujifanya kuwa...
0 Reactions
5 Replies
827 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…