POROJO KIDOGO NA MTANGAZAJI ABBAS EL SABRY
Nakumbuka ilikuwa mwaka wa 2009 siku nilipokutana kwa mara yangu ya kwanza na Abbas Al Sabry katika studio za Radio Kheri Morogoro Road na Lumumba...
PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama...
Prostitutes and sex in Medieval England.
(Some of our new followers may have missed this post).
.If you are easily offended then perhaps best to give this one a miss.
“As for you, be fruitful...
MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA
Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu...
MWALIMU NYERERE NA AKINA MAMA WA TANU
Sijui lini CCM itaamka kutoka usingizi mzito na kulitupa pembeni hili blanketi zito walilojigubika kuanzia unyayoni hadi utosini.
Ikajitoa katika huu...
MAMA DAISY, MAMA MUNI (BI. ZAINAB SYKES) NA MAMA MARIA NYERERE 1950s
Nimetanguliza picha katika bandiko kabla ya hili mama zetu wanapiga kura mwaka wa 1962.
Yapi yalikuwa maisha ya wake wa...
Idi Amin of Uganda (Presidents SPEECH)
For those of us who English is not their first language, read on!!Here is a speech delivered by Idi Amin at a sumptuous luncheon hosted By Queen...
Tarehe kama ya leo mwaka 1965 Malcom X aliuawa kwa kupigwa risasi, huyu Mwamba ni moja ya wapigania haki weusi huko Marekani aliyekuwa na ushawishi mkubwa sana.
RIP MLCOM X
DEDAN KIMATHI ALINYONGWA SIKU KAMA YA LEO 1957
Nimeona hapa barzani imewekwa taarifa ya kunyongwa Dedan Kimathi siku kama ya leo mwaka wa 1957.
Taarifa hii imenigutua na nimefunua kitabu cha...
MAJINA YA MITAA YAHIFADHI HISTORIA
Ndugu zanguni hivi sasa kuna mradi wa Anuani za Makazi (Post Code).
Naamini sote tunashausikia kwa kuwa serikali imeutangaza.
Mradi huu ulitakiwa uchukue miaka...
Huku kukiwa na mjadala duniani juu ya uhusiano wa kikabila, ukoloni na utumwa, baadhi ya wazungu na Wamarekani ambao walipata utajiri wao kwa biashara ya wanadamu wameshuhudia , sanamu zao...
KIPINDI MAALUM CHA ALI MSHAM IBN TV AFRICA
Leo nimetembelewa na mtangazaji Hemed Lubumba wa IBN TV ili tufanye kipindi cha Ali Msham.
Ali Msham alikuwa mpigania uhuru.
Mengi tumeyapata kwa...
Wadau Tarehe 26 April 1964 Nchi mbili za TANGANYIKA na ZANZIBAR Ziliungana na kupatikana NCHI ya TANZANIA.
Kitu cha AJABU Nchi ya ZANZIBAR ipo Nchi ya TANZANIA IPO lakini NCHI ya TANGANYIKA...
Wakati SÉKOU TOURÉ wa GUINEA alipoamua mwaka 1958 kuondoka katika himaya ya kikoloni ya Ufaransa, na kuchagua uhuru wa nchi hiyo, wasomi wa kikoloni wa UFARANSA huko PARIS walikasirika sana, na...
"Kila jambo lina wakati wake" ni maneno ya wahenga na vitabu vya dini.
Ingawaje Kuna wakati jambo huanza kwa uzuri na kuisha kwa ubaya kulingana na Vikwazo vikivyopo ukingoni.
Yote hayo ni...
WATAALAMU "PROFESSIONALS" WA TANGANYIKA WANAFUNZI WA COUNT VICTOR LUSTIG
Uzuri wa Tanganyika ni kuwa unaweza kukodi kila aina ya huduma na kwa kweli fani hii ina wataalamu mabingwa khasa...
Mshukiwa mmoja wa udakuzi wa komputa ambaye anasakwa na idara ya ujasusi nchini Marekani, FBI, kuhusiana na madai ya kuiba mamilioni ya madola kutoka benki za Marekani, ili kufadhili maisha ya...
KUMBUKUMBU KIFO CHA MANGI MKUU THOMAS MAREALLE 14 FEBRUARY 2007: PARAMOUNT CHIEF THOMAS MAREALLE KATIKA NYARAKA ZA RAJABU IBRAHIM KIRAMA WA MACHAME NKUU
Mara yangu ya kwanza kusoma historia ya...
ALASIRI MOJA NYUMBANI KWA CHIEF ABDALLAH SAID FUNDIKIRA 1992
(Hii makala sikuandika mimi mwandishi hataki jina lake litokee lakini siku hiyo ya mazungumzo tulikuwa pamoja ilikuwa November 1992)...