Mimi Mama wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa...
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati...
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED!
LED - Light Emitting...
wakuu..nimesikia hili neno leo wakati nikiangalia taarifa ya habari ya TBC1...liliwekwa tangazo moja kutoka ofisi ya CAG likiwataka maafisa masuuli kuwasilisha financial statements za taasisi zao...
Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni...
Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.
Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke...
Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha...
Nawaamkia wana JF huku nikiwa na machungu makubwa kwa kuondokewa na mmoja wa magwiji wa Kiswahili hususan katika taaluma ya Ushairi Huyu si mwingine bali ni mzee Jumanne Mayoka. Hapa chini...
“A poem cannot stop a bullet. A novel can't defuse a bomb. But we are not helpless. We can sing the truth and name the liars.”
~Salman Rushdie. Huyu mdau amenisurika kuuliwa na utawala wa...
Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili?
Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga.
Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa...
Habari zenu wana kiswahili...
Kwa mara nyengine nimeamua kuibukia huku tena ili nieleze dukuduku langu juu ya maneno kama mawili matatu ambayo sijavutiwa nayo!.
pia ningependa mabaraza ya...
Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana..
Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na...
Neno "kuweza" limekuwa linatumiwa vibaya sana kwenye kiswahili cha siku hizi. Luna mifano mingiya matumizi hayo haramu kwa mfano kwenye sentensi hii ina makosa:
"Mchezaji wa zamani wa timu A...
(1) Cherehan - Charan Singh.
Inaarifiwa uyu ndo fundi nguo wa kwanza afrika mashariki na waswahili tukashindwa kutamka jina lake tukawa tuna litamka cherehani.
(2) Kariakoo - Carrier Corps...
Zamani mimi nilikuwa najua neno tia linatumika bandarani tu(kutia nanga), baadaye nikaja kujua linatumika kama matusi pia, lakini kadri muda ulivyoenda nikaja kujua linatumika sana hasa na watu...
Wadau kuna maneno yanatatiza ,
Ukifuatilia vyombo vya habari siku hizi kwenye mahojiano, au popote pale kwenye maisha ya kila siku, pindi mtu anapopewa fursa ajitambulishe utasikia anaanza kusema...
Habari za kushehereke Uhuru wetu Watanzania, na wale wasiokuwa watanzania habarini za kazi.
Kuna neno limezuka hapa katikati na limekuwa maarufu sanaa hasa ktk nyanja za soka lkn mm binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.