Kuna baadhi ya maneno ni lile lile ki maana ila tunarudia sababu ya lugha ni tofauti.
Mfano Sahara Desert...Sahara ni desert kiarabu. Ukisema jangwa la Sahara, manake jangwa la jangwa - desert...
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika...
Hili neno "kushenyeta" naliona kwenye muktadha tofauti tofauti sana na inanipa ugumu kujua maana yake halisi ni nini.
Wataalam wa lugha hebu tuambieni maana halisi ya hili neno
Nimepata jirani mkongo ameni inspire LINGALA.
Ozali malamu- mambo vp?
Nazali kobela- naumwa
Kombo na yo- jina lako nani?
Bolingo na ngai- mpenzi wangu
Posa ya mayi- kiu ya maji
Muzina di tata...
A - a
-a prep. of.
-a baridi adj. cold.
abiria n. passenger.
-abudu v. worship; adore.
-a bure adj. free.
-acha v. cease; allow; leave; let go; abandon.
-achana v. leave each other...
Mungu alijitambulisha kwa MUSA kwamba yeye anaitwa " MIMI NIKO"
Kutoka 3:14
MINI MAANA "MIMI NIKO"?
Haya maneno asili yake ni lugha ya kiEbrania "Ehyeh Asher Ehyeh"
Nini maana ya Ehyeh Asher...
Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja...
BARUA KUTOKA JELA
Kuna mbaba mmoja, mwanae lifungwa jela,
Jina lake sitotaja, nakataliwa na mila,
Machozi yakamvuja, mfukoni hana hela,
Barua kutoka jela, ilimkomboa baba.
Aliandika barua, kwa...
Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza.
Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa.
Tuachane na...
WYNE LOTTER
1)Majonzi makubwa sana,kwa haya yalotokea
Hadharanu kuuana,wale wanaotetea
Wanyama wazuri sana wasije kuangamia
Ni nani alomuua,apingae ujangili.
2)Aliyapita masafa,kuingia Tanzania...
Kama ilivyojadi kwa manguli wa tasnia ya lugha mbalimbali ulimwenguni, ni kawaida kila mwisho wa mwaka kuingiza misamiati mipya katika lugha zao ili kuendelea kukuza na kuhuisha lugha zao asilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.