Nipo ndani ya jukwaa la lugha na pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru members wote wa jamii forums.
Lengo langu nikutaka kukuletea fursa mbalmbali za kujifunza lugha wakati unapokua KWENYE...
January 22, 2013
RIWAYA: MBALI NA NYUMBANI mwandishi Shafi Adam Shafi
Kwa Mukhtasari Tunachangamkia kuchapishwa kwa Mbali na Nyumbani, tawasifu ya mwandishi maarufu wa Zanzibar Adam Shafi...
1. Kudanga = kufanya ukahaba.
2. Body count = idadi ya watu uliofanya nao mapenzi.
3. One night stand = kufanya mapenzi mara moja na mtu asiyekuwa mpenzi wako ili kukidhi tamaa za kimwili.
4...
Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa
-Paka
-Dawati
Visawe ni maneno yenye maana sawa
Neno=Kisawe
1. Ardhi=Dunia
2.Ari=Nia
3.Aibu=Soni
Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila...
Ndugu Wanajamii, kuna ndugu zetu Wamarekani wenye Asili ya Afrika wanakuja Tanzania kutafuta mizizi (roots) yao katika programu ya African Diaspora Heritage Trail (ADHT) <...
Nijuzeni jina la Mwanamke mlevi kwa kiswahili fasaha anaitwaje
Tupo na mke wangu hapa tunabishana ananitajia majina ya ajabu ajabu
Na jee mwanamke mlevi kwa kimombo anaitwaje?[emoji23]
My...
Jaman Wana jamii forums Nina swali.
Je, ni lugha gan ambayo hutumika wakati wa interview yako pale ubalozi wa marekani ni Kiswahili au ni English?
Na pia, je interview unafanyia ndani kwenye...
Leo tuna Hadith mpya
DONDA LA WIVU
👇
LEO MCHANA.
“Ni lazima niitishe kikao cha wazee wa Mila, ni lazima nipange siku moja maalumu kuwakomoa firauni hawa, wajinga na wapuuzi wanao...
WAMEZIDI.(Wamekua too much)
Mtunzi:Elaija-Elia.
(Sms) +255744225388.
KAMPANI.
"Waziri Beni unahitaji KAMPANI huwezi kwenda pekee Ulaya." Secretary Rose aliongea kwa madaha mbele ya...
Salaam; Wana jukwaa
Wataalamu wa kiswahili, Katika harakati za kutafuta maisha, wahenga kwanini walitunga huu msemo na nini haswa maana yake ?
Nawasilisha
TATIZO LA KUTAMKA "R" NA "L"
Hili tatizo la shida ya kushindwa kutofautisha kati ya "R" na "L" ni tatizo jipya.
Nyakati zetu tunasoma shule ya msingi katika miaka ya 1950 tatizo hili halikuwapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.