I've been learning Kiswahili for roughly a year using Duolingo. It has been very useful and I have had no problems with it, but I think it would be very helpful for me to also use other resources...
Mbinguni kuna hukumu,amewaita manani
Malaika walo zamu,aridhi na samawini
Idadi wameshatimu,walo watu na majini
Umeonewa shetani?
Mikao ni kwa kaumu,watu wa zama fulani
mitume yao...
Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya.
Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo...
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo.
Nina swali gumu sana naomba mnijibuni.
Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie.
Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/=...
Habari wadau, wapi ninaweza kupata vitabu alivyoandika mwandishi nguli wa hadithi Agoro Anduru.
Baadhi ya kazi zake nnazotafuta;
1. A Bed of Roses and Other Writings
2. Loyalty to My Friend
3...
First of all i would like to say that I am an average English speaker,though i would like to be very fluent in English,the fact that i do speak English very seldom and all along my studies i...
Kuna watu ukiwatajia kuwa unatoka mkoani Kilimanjaro wanajua wewe ni Mchanga!
Si kweli na kuna baadhi wanajua yakuwa Kilimanjaro kuna Wapare na Wachaga tu ngoja nikusanue.
Kilimanjaro kuna...
Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia.
Mtandaoni kuna makala...
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "kupoteza maisha" kumaanisha mtu amefariki dunia,mimi nafikiri si sahihi kwani inaonekana imetokana na maneno ya kiingereza " lost life". Naomba nisaidiwe.
Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha .
Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa
Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu ...
Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie...
We Mama Njoo
Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika
Tanzania Ya Leo Oooh!
Imejengwa Imejengeka
Pita Ubungo Tazara
Za Juu Barabara
Tayari Zinatumika
Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage
Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.