Imekuwa ni kawaida kupata misamiati mipya kutoka kwa marais ofisini.
Huu ni msamiati mpya kwa wale wapendao kuishi kwenye taabu:
BAKITA wakae mkao wa kula.
Haikosi msamiati huu unawahusu...
Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa...
maneno kama vile;
magumashi
miyeyusho
shobo
jau
sanua (mfano; kimesanuka, imesanuka, 'mange kimambi kakisanua huko')
haya maneno yanafahamika sana ila sidhani kama wengi tunafahamu namna ya...
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) ingilieni KIswahili cha kichaga wakiongea wanapotezea watu muda sana hawawezi ongea sentensi imenyooka hawana kazi au?
Hebu ona hapa mifano michache katika...
Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira.
Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
Kusema Uwongo ni tendo kutoa taarifa zisizokuwa kweli kwa makusudi kabisa ili kuficha ukweli. Mtu anayesema uwongo ni mwongo, na akitoa ushahidi wa namna hiyo mahakamani anaweza kuhukumiwa kwa...
Wakuu,
Naomba msaada wa hii status ya NSSF kwenye account yangu.
Ni week ya 4 sasa tangu nifungue madai ya pesa zangu huko ila status inasoma bado lodged.
Utunzi huu (wa M. Mpoto) ni kielelezo cha ubora na uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili. Kila neno na kifungu ndani yake kinaakisi utajiri wa tamaduni na maadili ambayo tumerithi. Ni jukumu letu kama...
Hello, ladies and gentlemen I'd like to welcome you all to this English language 101 Club. This club is for those who want to learn English language and excel.
We are sometimes tirelessly...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanadamu kutekwa.. Ile neno kutekwa ni Gumu sana kujua maana yake na kutamkwa, lilikujaje, na lilikubaliwa vipi kutumika kwenye jamii, walitumia njia gani?
Maana JF...
Nashika tena kalamu, kwa Jina lake Karimu,
Naishika kitalaamu, nashika kiufahamu,
Napanga tungo adhimu, kama gwiji na mwalimu,
Kuaga kwa mwenye njaa, huaga na haondoki!!
Yametokea nyumbani...
Wanabodi
Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli.
Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni...
Hii mimea kwa kiingereza
1.Unaitwa -chamomile
2.Unaitwa-nutmeg
nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa.
Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa...
Maduhuli ni bidhaa zinazo ingizwa ndani ya Nchi zinatoka nje zinaingizwa ndani kwa kingereza tunasema Import kwa kiswahili fasaha ni maduhuli.
Kwahiyo kuna maduhuli bayana na maduhuli fiche...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.