1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule.
Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa?
President - rais.
Elect-chagua/ chaguliwa.
Kwa nini huyo...
Je, ni neno gani la kiingereza, Kiswahili au jina la mtu ambalo mtu wako wa karibu au mtu yeyote unayemfahamu aliwahi kutamka kimakosa mpaka ukaona aibu kwa niaba yake,
Ukamshusha hadhi uliyokuwa...
Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati.
Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake.
Mtu yupo...
Wadau, nifahamisheni watu hawa waweza kuwaita kwa jina gani kwa uhusiano huu.
1. Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. (Yaani ameoa mdogo wa mke wangu), mimi namuitaje?
2. Mdogo wa kike wa...
Habari zenu
Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo
Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba
Ahsanten
Asalam aleykum
Kama kichwa hapo juu kinavyo jieleza makabila mengi ya kibantu katika utamkaji wao wa maneno huwa hawatamki r. na kiswahili kina msingi wa kibantu watu wengi hawaji hili na...
Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja...
Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine.
Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila...
Nauliza tu ndugu Zangu maana nijuavyo Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma siyo binafsi
Aidha Kanisa ni la Yesu Kristo yaani Moja Takatifu La Mitume na Utukufu Ni wa Mungu Juu Mbinguni siyo Wanadamu...
Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani...
Hua nasikia kwenye matangazo mbalimbali kama matamasha au maombi fulani au semina wakitangaza baadhi ya viongozi au waaalim fulani wa huchi kipindi wakati huohuo watasema pia kuna mwanazuoni au...
Husika na mada tajwa hapo juu nikiwa na elimu yangu kidato cha nne kati ya vitu vinavyonipa mawazo ni kutokuwa na uwezo wa kumudu kuongea lugha ya kiiingereza wengine najua wataanza kusema kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.