Tukumbuke kuwa lugha yoyote imebeba utamaduni wa wazawa wa lugha husika. Na matusi hutofautiana kutoka lugha moja hadi nyingine. Neno ambalo ni tusi katika lugha ya Kiswahili huenda lisiwe tusi...
NDUGU ZANGU, SIO “COME DOWN”, NI “CALM DOWN”.
Katika post hii naomba niwakumbushe kuwa unapokuwa ukimtuliza mtu aliyepaniki au mwenye hasira, huwa hatusemi “come down”. Huwa tunasema “calm down”...
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka visivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno...
IPI TOFAUTI KATI YA “COME BACK” NA “GO BACK”?
Kwenye post hii, naenda kukupa tofauti kati ya “come back” na “go back”.
Maneno yote mawili “Come back” na “go back” humaanisha “rudi” au “kurudi”...
Naomba ufafanuzi hivi huyu mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote kwa maana ya jeshi la police, jeshi la magereza au ni mkuu wa jeshi la wananchi Tanzania
Hata kama ni haraka unawezaje kuandika Press release ya ajabu namna ile tena inatoka Ofisi kuu ya Nchi , Nanukuu baadhi ya maneno Para ya Kwanza, " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
KAMA HUWA ANAKUSALITI, SEMA "HE/SHE CHEATS ON ME".
Tunapozungumzia suala la usaliti katika mapenzi, yaani fulani anakusaliti, huwa tunatumia preposition "on". Ambao wamesoma nasi kwenye mada ya...
JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA.
Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio...
KAMA HUWA ANAKUSALITI, SEMA "HE/SHE CHEATS ON ME".
Tunapozungumzia suala la usaliti katika mapenzi, yaani fulani anakusaliti, huwa tunatumia preposition "on". Ambao wamesoma nasi kwenye mada ya...
MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI:
1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings)...
Kichina kinachukuliwa kuwa moja ya lugha ngumu zaidi ulimwenguni kujifunza. Tumeorodhesha Kichina kama lugha ya pili kwa ugumu kujifunza kwa wazungumzaji wa Kiingereza, nyuma ya Kiarabu kwa sababu...
Jamani napenda mno kujifunza Kingereza na ukizingatia sasa hivi kila sehemu ni ENGLISH sasa wale tulosoma kayumba njooni tujifunze kuandika na kuongea hapa.
Najua wengi wetu humu watakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.