Nilikuwa narafiki, lake jina Chumu.
Hakuwa mnafiki, ni mtu wakukirimu.
Sahibu hawabanduki, shida zao kujikimu.
Kwenye buku la rafiki unaweza kukopia
Zilipompata dhiki, nduki kubwa wanadamu...
SHAIRI
MPENDWA UJITAFUTE
1.Ninapolileta somo, cha kwanza nawasabahi
Mi Mzee wa makamo, sikiliza nawasihi
Naufungua mdomo, naamini nimewahi
Mpendwa ujitafute, kwa sasa hupatikani
2.Yule...
Niliambia hivi
★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla"
★ Nilipewa nafasi kufikiria kama ningepata...
Wakuu kwema?
Nahitaji kujua usahihi wa maneno haya kati ya Njozi na Njonzi. Nimekuwa nikisika wengi wakati wa usiku wakitakiana njonzi njema, wengine njozi njema.
Lipi ni neno sahihi?
Ahsanteni!
Nina mpenzi wangu hatuko kwenye maelewano mazuri kwa sasa ila Leo kanitumia neno hili Hanginywe.
Nataka nijue maana yake nini ili kama ni tusi nijue.
Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina...
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI.
Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa.
Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais...
Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili?
" Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya...
Baada ya Maghribi, Mitaa ya Kariakoo
Nipo jijini Dar es Salama, vitongoji vya mitaa ya Kariakoo, unyounyo na rafiki yangu, tukitembea sako kwa bako, hamadi kibindoni tukajikuta tupo mtaa ya...
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake".
Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa.
Wajuzi...
Bagalu bichane, aliyoneyo, nandje kwa kubagisha pye!
Salaam kwa wote. Samahani wakuu, inaniwia vigumu kuandika kwa kutumia lugha moja kuwasilisha hoja na maswali yangu. Ningelipenda sana lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.