Tujivunze kiswahili fasaha vinginevyo tutapotosha maana halisi ya ulicho kusudia.
wenye matatizo ya kushindwa kutofautisha herufi "l" na "r" mnatukere.
Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana
katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T...
Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma...
METHALI NA MISEMO YA KIPARE.
(VISOMA VYA CHASU)
1. Kiruke cha ibwe kimanywa ni igondwa.
2. Kitambi cha muimi ni kiumbi.
3. Ekwira ima si iti anakulie.
4. Ngoma mbiri nyika ni kintu na mlamue.
5...
Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza,
KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI...
Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na...
French Learning From a Linguist Expert.
Experienced in Teaching higher learning students,Professionals: Lawyers, Advocates,East African parliament Members,Businessmen, travellers, Primary pupils...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!.
Maneno hayo ni :-
1.Uzuri
2.Urembo...
Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili
Mfano leo wameandika
Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa...
Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani.
Duniani ambapo watu wake wanatofautiana tamaduni, desturi na hata...
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k
Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa...
Sitafuti kuwa mkamilifu kwenye Kiingereza, ila nimekataa kuwa chini ya "level" 5.
Kuhitimu Chuo Kikuu si tiketi ya kuongea lugha kwa ufasaha. Hata wazawa wa "English" kuna ambao bado...
Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia...
Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.