Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari za asubuhi wana JF.. Nimekuwa nikikutana na hili neno " LMFAO" mara kwa mara kwenye mitandao, nipeni darasa jamani. Nini maana yake!!?
0 Reactions
48 Replies
16K Views
ipi ni sahihi kati ya muziki na mziki
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya kuna gazeti moja tu la Kiswahili… litazame hapa. Tanzania na Kenya ndio nchi pekee za Afrika Mashariki ambazo zinaongoza kwa kuzungumza sana lugha ya Kiswahili tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada wadau! Lipi ni neno sahihi katika Kiswahili Fasaha? Ninyi au Nyinyi?
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Hikiwemo au ikiwemo? Kufuata au kufata? Ujaamua au ujahamua? Taasisi au Tahasisi? Hivyo au hivo ? Aliipata au alihipata? Ataweka au hataweka? Ambako au ambapo? Anasa au hanasa Taharifa au taarifa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NI VIATU VISIVYO VYETU. Kale ilipokuwa, Viatu tulivijua, Vilitupendeza, Mguuni tulivaa. Tulivivaa vikavalika, Hakika tulifurahia, Kila aliye, alikabiri, Viatu vilikuwa sawia. Mambo yageuka...
1 Reactions
0 Replies
981 Views
samahani wadau,poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale,tafadhali sana sana naomba kujua kwa maelezo ya kina tofauti ya maneno haya na jinsi yanavyotumika;prostitution,fornication na adultery.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wana jf naomba msaada wa hilo swali langu na kama limo humu nisaidieni tu kwani natumia simu ambapo nashindwa kuaccess ahsanteni
0 Reactions
36 Replies
15K Views
naomba kujuzwa toafauti zao nitashukuru nikiambiwa na majukumu yao
1 Reactions
3 Replies
11K Views
Heshima pesa, Shikamo Makelele. Nani Anabisha huu msemo katika karne hii ya sayansi na Technology?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwiliwe mwiliwe abhagabho na abhagole,abhahungu na abhakobwa,kavubhu? na amahoro?,tubhoneke kwa-aka ka-thread,tubhonane
1 Reactions
69 Replies
9K Views
NYANI MJENGONI Salamu natanguliza, Bara nako visiwani Mezani nako baraza, Salamu zikufikeni Mwaloni na viambaza, Salamu ninakupeni Nyani huko mjengoni, Hivi atafuta nini? Hivi atafuta nini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa wataalam a lugha. Je, watu wa kutoka nchi hizi mbili kwa kiingereza utawaitaje? Kwa mfano sisi watanzania tunaitwa Tanzanians, je wa-Ecuador (Ecuadorians?) na wa-Niger...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumiwa sms."d,xiku hizi xtaki xtarehe,nafikiria maixha tu" nikamjibu" unanikera sana na uandishi wako' akajibu: 'd nixamehe,xitorudia tena ila nimexhazoea' hivi wadau huwa mnavumiliaje hizo...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu wanajamii, leo nimekumbana na misamiati mingi wakati nasoma jarida fulani . Nimejifunza kwamba hata kiswahili changu huenda sio sahihi naomba msaada wa tofauti ya maneno haya:- 1. STARA vs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bata hata umlishe mawe atahara tu!
0 Reactions
69 Replies
11K Views
Hizi ni nukuu ninazozipenda kutoka humuhumu JF: "Miafrika ndivyo tulivyo" Nyani Ngabu "Tanzania kila kitu kinawezekana isipokuwa maendeleo" Common Citizen "Watanzania ni watu wa kulalamika tu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesikia sana neno hili likitumika sana kenya! kenyatta nilimsikia... pia leo raila nimemsikia Nini maana yake!
0 Reactions
1 Replies
17K Views
No english DICTIONARY has been able to explain the difference between the two words,"COMPLETE" and "FINISHED",some people say there is no difference between "COMPLETE" and "FINISHED" but there is...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…