Mara nyingi kwenye vikao vya bunge utawasikia wale waheshimiwa sana wakisema ama 1:naunga hoja mkono au 2:naunga mkono hoja
Mojawapo si sahihi au pengine zote
1. The hand enters inside the anus must come out with unpleasant odour-either bad smell or feaces.
2. What an old man can see sitting, a young man cannot see standing.
3. The enemy is in the...
Ivi ni sahihi kusema niko njiani naelekea zanzibar? Am on my way to zanzibar au uko kwenye boti ukielekea zanzibar au kwenye ndege ukielekea zanzibar?
Msaada kidogo
Mara nyingi mie nilikuwa najua ya kwamba maneno "Nishati" na "Kawi" yana maana moja ila Nishati ni TZ na Kawi ni Kenya (Kumaanisha Energy.)
Hivi majuzi, nilimskia mtangazaji nchini Kenya...
habari za hapa, wakuu?
Naomba msaada wa wapi naweza kujifunza LUGHA YA ALAMA.kwa upande mwingine nipo kazini naweza kusema mwajiriwa wa serikalini. Hvy muda kama unanibana na eneo nilipo! Ahsanteni
Kumekuwapo na utumiaji wa jina la noah pale ambapo panamaanisha nguruwe mnyama aka mdudu, na hiyo lugha hasa nimeipata humu JF. Naombeni kuuliza, nguruwe aliitwa noah kutokana na gari aina hiyo...
Kuna imani za kale zilizoaminiwa na jamii ktk makabila na tamaduni mbalimbali mfano
1.UKIPALIWA KUNA MTU ANAKUSEMA
2.JOGOO AKIWIKA USIKU UJUE KUNA MTU ATAKUFA
3.MKONO WA KULIA UKIWASHA UTAPATA...
Tumekuwa tukitumia neno la kiingereza 'feedback' pengine kwa kutofahamu neno halisi la kiswahili. Wengine wanasema ni 'mlisho nyuma'.
Jumatano nimemsikia mtaalam wa lugha ya kiswahili akieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.