Wahehe kama Wafaransa, Wahispania na Waitaliano wana lugha nzuri inaayowakilisha jinsia zote yaani "Ke" na "Me" au musculine na femine
Kiswahili kimeishiwa lugha ya kutofautisha jinsia mfano...
Kuna hili neno watu wanalitumia sana. Hata kuna kampuni moja ya vinywaji baridi walilitumia sana hili neno, mimi nikabaki na mshangao. Hata hapa JF linatumika sana.Neno hilo ni 'kuboa' na...
kiswahili n uzalendo,
kukizungumza n unadhifu
kukisoma n ushujaa
kukienzi ni uadilifu
kukisifu ni uhodari
kukidumisha ni umahili
kukieneza ni ukombozi.
kiswahili ni uzalendo,
kukidharau ni...
Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto,
kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto,
kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato
mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani
Habari wadau,
Hii imetokea leo kwenye basi la kampuni maarufu hapa Dodoma. Ilikuwa kama ifuatavyo:-
Mnamo majira ya asubuhi Leo nilipanda basi kwa lengo kwenda Dodoma mjini nikitokea moja ya...
Kuna kitu nimekigundua watu wengi hawajui kuomba wasamehewe, kwanza kabisa kuna maneno mawili nayo ni samahani, nisamehe. Sasa ngoja niyadadavue kwa mamikini yanavyo takiwa yatumike
SAMAHANI
hili...
Hapa tanzania neno muheshimiwa kwa kias kikubwa linatumiwa vibaya na wanasiasa kwa mtazamo wangu. Hiv kuwa diwan, mbunge, wazir ni lazima uitwe mheshimiwa? Hiv mbunge ambae kaz yake kubwa ni...
Wakuu neno/kifupisho hiki matumizi yake sahihi ni yapi,kwa wakati gani na katika kumanisha nini? na kwa wakati gani? Nakumbuka kuna kijana UINGEREZA alifungwa miezi SITA kwa matumizi ya neno hili...
Yupo fulani aliyewahi kusikia au kusoma juu ya humanism au humanistic teachings kwa kiingereza na anayejua kuitafsiri katika Kiswahili! Mafundisho ya kibinadamu haifiki! Humanism...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.