Ndugu zanguni,
Najua hapa kuna wataalam wa kiswahili hivyo nataka nijue tu kabla sijamkosea mtu kama nikimuita mtu -------- nakuwa nimemtukana au nimetaja upeo wake?
Hili neno halipo kwenye...
Ndugu wanajamvi,
Kuna neno linanichanganya sana: CHEMBA YA MOYO au wengine wanaita CHEMBA CHA MOYO.
Hivi hii ni sehemu fulani ya moyo au ni eneo au kiungo ktk mwili wa binadamu? Au ni aina...
Afrika ya Kusini ni nchi yenye historia ya ajabu ambapo ubaguzi wa rangi ndiyo ulichukua nafasi kubwa katika maisha ya kila siku. Historia hiyo inakwenda mbali hadi mwaka 1852 wakati ambao...
wakuu,
Heshima kwenu!
Kuna msemo unasema "Mungu si Athmani"
Naomba kujua na kufahamishwa huyu Athmani
alifanya nn hasa? na kwanini awe Athmani na
asiwe Josefu ama Asha? Kisa kilikuwa...
Hey dears,
Honestly, It is the right time for us to expand our English language competence and performance on our own time by visiting different eng-language course webs. Here is one amongst...
Alinizani bandia,ndani ya maisha yake
Wala sikufikiria ,kma ntarudi kwake
Sitorudi abadani,sitorudi abadan
ni kheri niazirike
Lakini leo karudi,kama jambo halikua
Na macho yake shahidi,kaja...
wadau naomben wenye kufaam...vigezo gani vinatumika kuweka majina haya mfano congolese,japanese,kenyan,zambian,brazilian?5????..kwenye nn naweka ESE na kwenye nn naweka IAN...plz
Ni machungwa ya Muheza, yenye sifa kemkem
Yamejaa kila muji, hakuna asoyajua
Yanauzwa bei chee, na fukara anamudu
Ni machungwa tamanika, bali ndani yameoza
Yanazidi ya handeni, yamenea nchi...
Yaani hii nchi inakera sana, yani tovuti ya muhimu kama ya takwimu za nchi (NBS) taarifa zote zimeandikwa kwa kiingereza...Hivi wanategemea kwamba kila atayetembelea tovuti hiyo anaelewa...
Leo asubuhi nimejikuta nasakiliza kipindi cha watoto kwenye radio. Nimeshangaa watoto wanavyoulizana mafumbo, methali, nahau na hata jinsi wanavyosimulia hadithi zao. Kuna nahau moja ilitolewa na...
Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)...