kama mnavyojua kuwa miaka ya karibuni kumeibuka suala zima la utandawazi,hivyo basi fasihi kama fasihi ktk kipindi hicha cha utandawazi ina umuhimu gan??tafadhar msibeze majibu yenu yana umuhim...
Tanzania tuna makabila mbalimbali
na yana utajiri mkubwa wa methali zenye mafunzo tofauti...
sasa basi anaezijua aweke hapa tuweze faidika na wengine
unaweka kama ilivyo,halafu tafsiri yake na...
Vituo vingi vya televisheni katika wiki hii ya maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu,vingi vimejikita katika kuonesha hotuba mbali mbali za Mwalimu Nyerere.Licha ya hotuba hizo kuwa na maudhui...
Ngudu wadau wa Lugha ya kiswahili,ninaomba kupata maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juuu,
Ninasikitishwa na kitendo cha Baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini kufundisha lugha ya kiswahili kwa kutumia...
Habari ya leo waungwana wa jukwaa hili la lugha yetu adhimu ya kiswahili!
Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi nitapata mtaalam wa kufundisha kiswahili kwa wageni/wahamiaji halali.
Nadhani...
Ancient language not heard for 4,000 years is recorded for the first time as linguists work out how English came about using ancient texts
Proto-Indo-European, or PIE, was spoken across Europe...
Anaitwa Sauda Mwilima na anaendesha kipindi cha Bongo Beats. Kila atangazapo lazima atumie maneno haya, hata tarehe 21/9/2013 alipotangaza Red Carpet ya Redd's Miss Tanzania aling'ang'ania hayo...
Hili linathibitika kwa Uwepo wa Idadi kubwa ya Manen ya Kiswahili amby yanatokana na Kiarabu tofaut na Lugha nyingine,Mfano:-
LAFUDHI,RADHA,FAHAMU,FALSAFA, JAMAA,BARIDI,SWAHILI, ABUDU.SAWIA,Na...
NENO kongano limekuwa likisikika masikioni mwa baadhi ya Watanzania, ingawa huenda limekuwa likikanganya na kuacha maswali mengi kuhusu maana yake halisi.
Huenda kuna ambao wanalichanganya...
Huwa nasikiliza sana vipindi vya mapishi kwenye tv na redio. Kinachonishangaza ni wingi wa matumizi ya maneno ya kumiliki (possessives) eg yangu, yako yetu etc . Mathlani mpishi atasema hivi...