Ndugu,
Leo nataka ninyooshe lugha yetu tukufu ya Kiswanglish. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba, makosa yaliyo katika Kiswanglish ndiyo hayo yanahamishiwa kwenye Kiingereza, tunapojaribu kusema...
Nina uzoefu wa kutosha katika kazi hizi mara nyingi nimehusika katika kufasiri maandiko ya kitaaluma, Kwa Kampuni, taasisi au mtu binafsi aliye mahitaji ya mfasiri Kama vile
1. Vitabu
2.Vijarida...
mda mrefu umepita toka nikusudie ku post hili.
aliyeandika hili bango pale sabasaba ni nani.
badala ya maonesho kaweka maonyesho.
pamoja na kutanpaza biashara pia tumetangazia dunia hatupo...
jamani wataalam naomba nisaidieni haya maneno maana ninaamini nilichofundishwa darasani kuwa dunia ni duara. lakini sasa kuna hili neno utasikia kwa mfano "kila kona ya dunia" sasa nimekuwa...
Labda ilishatolewa, ila naomba kuwakilisha:
Baada ya kupita hoja ya kutoka analojia kwenda digitali..imekuwa ikisemwa vinunuliwe 'ving'amuzi'. Sasa kwa maana halisi 'ving'amuzi' ni 'detector'...
Kila nitazamapo Tv au kusikiliza redio, nakumbana na matumizi ya maneno mawili ya kiswahili yanayoniacha hoi.Nawasikia wakitangaza: BoA ni benki itakayokuwezesha kuweza kupata mafanikio kwenye...
Habari za jioni wana JF. Leo nilikuwa na jamaa yangu mahali tunapiga story za hapa na pale (ni mtu ambaye ni msomi mzuri tu) ghafla dushelele langu likaanza kuwasha, nikajikuta nikimwambia huyo...
Habari mwana jf?
Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English,
nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa...
Nimekuwa nikisikiliza kipindi cha RFA kinachozungumzia magazeti kila siku saa 12.30 asubuhi. Nimegundua watangazaji wanatumia neno lakini visivyo hasa kwa kuunganisha taarifa zisizofanana au...
Kwa taaluma ni mfasiri, lugha ninazofanyia kazi ni, Kiswahili na Kiingereza:
Natafsiri Vitabu, Majarida, Makala, kazi za kifasihi, vyeti na nyaraka mbalimbali.
Kama unataka huduma hii wasiliana...
Natamani na sisi tungekuwa na taasisi iliyo makini katika ukuzaji wa Kiswahili.
Yaani baada ya Miley Cyrus kukata viuno kwenye VMAs na neno 'twerk' kuwa katika midomo ya karibu media zote jamaa...
Ningependa kufahamishwa historia ya Kiswahili kilianzia vipi kuandikwa, ilikuaje, nani aliyeamua herufi hizi tulizo nazo ziandikwe n.k.
PS Huu ni "uchokozi" wa kimjadala, kabla ya kujibu...
Kuna jamaa anajidai ni mtaalam wa lugha Cloudsfm, anasema huwezi kutibu maji kwasababu hatutumii dawa na ni tafsiri sisisi.
1.Je chemical sio dawa au dawa sio chemical?
2. Anadai pia kwa maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.