Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Usifikiri kila anayekuangalia anakutazama tu. Je, kuna tofauti gani kati ya kuangalia na kutazama?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeisikia toka Chanel Ten...WASANII WA TANZANIA WANALALAMIKA KAZI ZAO KUIBIWA KINYUME CHA SHERIA....najiuliza kwa hiyo hawana tatizo wakiibiwa kadri ya sheria?
0 Reactions
0 Replies
972 Views
ati jogoo huwika kumwamsha mwandamu au kuku wenzake? Hili swali halihusu kuku ndege. Hivyo naomba jibu muafaka kwa hii lugha yetu mwanana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mdau mmoja huko Faceebook ameshuka msitari na utenzi huu, nami nikaona si vibaya nikiwashirikisha hapa jamvini tukafaidi wote... soma hapa MWIGULU NCHEMBA kKalamu yangu sambamba, Kwako...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
wakuu Naomba kuuliza ,je tunaposema mtu wa miraba minne tunamaanisha ni mtu wa aina gan? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Habari zenu Nimejitokeza hapa kujua jambo moja ambalo watanzania wengi wanalo kuna dhana moja ambayo imejengeka kwa watanzania kuhusu lugha yetu ya kiswahili na misemo, nahau na sentensi zake...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Maasikari wa UN wanasitahili kuitwa mashujaa?Au neno shujaa limepungua makali?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
===========IPI TAMTHILIYA BORA..============== Wana jamvi nauliza, nipate kuelimika Kutwa kucha ninawaza, na ninazidi teseka, Hili jambo lanikwaza, linarudi kila mwaka, Ipi Tamthiliya bora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni sawa kisarufi kutumia neno SALIA kwa binadamu? Mf, majeruhi sita waruhusiwa kutoka huku wengine watatu waki-SALIA katika hospitali ya Aruma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili neno lina maana gani? ''proceed ex-parte''
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mnisaidie tofauti ya maneno haya.. kisia,hisi na tabiri.. asante..
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Wakuu, Naombeni msaada wenu kwenye hili na ikiwezekana toeni ushauri wenu kwa huyu Bwn. Shigongo, kwangu kama nimepituka na Watunzi wengine wa hadithi na sinema za Kitanzania na kuzipa majina ya...
0 Reactions
28 Replies
16K Views
Kwanza habari zenu wadau. Tukaribishane japo kwa pilau. weekend ndio hii msijenisahau Leo Naunga mkono tuu hoja zenu. Siungi uongo bali ukweli tupu Wacha tule vyetu hatutaki ----- Usidhani nami...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Napenda kuuliza kuna tofauti gani kati ya neno "marehemu" na "hayati"? Najua yote yana tumika kumtaja mtu aliye fariki ila juzi nikamsikia mtu ana sema aki taka angependwa kuitwa hayati na si...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
hivi majina ya kichina ya wanaume na wanawake yanatofauti? Yaani kuna majina ya kike na kiume kama huku kwetu?
0 Reactions
7 Replies
7K Views
nini maana ya ili neno TAIKUNI ,nimelisikia jana likitumika kwenye kipindi cha BBC Swahili.
0 Reactions
2 Replies
39K Views
JF safi sana kwasababu nayo ina misamiati yake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mapfue na ngima woose walekapo mkomu Nereo mpfiagho namrasa lo inu walandesiyepfo. Kupfa iho mboko, wakokiparambuya, na wakokiparamri, wawekundanyi na wakoiolandore na wakokio landenga...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
1.Tanzania nchi yetu, yenye amani na upendo, umoja mshikamano, watu wenye ukarimu, ewe ni mwema mlezi, daima tutakulinda, Tutunza amali zetu, nchi yetu istawi. 2.Jambo la kusikitisha ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi hili neno MISALSALAATI lina maana gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom